Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

Nimemsoma na zaidi amenisikitisha na kunifanya nimuonee huruma yeye na kizazi chake.

Watu wa namna yake ni kielelezo tosha kuwa nchi yetu ndo imeshajifia rasmi.
 
Huyo aliyepewa huu mradi atakuwa trilionea ndani ya mwaka mmoja
 
We jamaa umenifanya nicheke mno, unaweza kujieleza vipi wakati huwezi kutwngeneza facts rationally, huna critical thinking ila kwa Tanzania unaweza kuwa mwanasiasa 😂 nchi ai mahaiona ni jumba la sanaa kila mtu anajaribu kipaji chake.
mimi si mwanasiasa tu gentleman,

ni muhadhiri mwandamizi, mwanadiplomasia, mkulima, mfugaji, mfanyibiashara, apostle na mwanasarakasi wa kimataifa, mshauri mwandamizi wa masuala ya siasa katika vyama mbalimbali vya siasa n.k

ndio maana jimboni kwangu anaejitokeza kunipinga huonekana ni mshirikina na hutengwa kabisaa na jamii. Hakunaga upinzani jimboni kwangu gentleman 🐒
 
Muislamu hatakiwi kupewa uongozi kwenye hii nchi ndiyo wanao ikwamisha nchi yetu kwenye umaskini wakimsingizia nyerere ....
Nchi hii imetawaliwa na marais wakristo kwa kipindi cha zaidi ya miaka 35 na bado waliiacha masikini.
Viongozi wengi serikalini ni wasomi wakristo, wametusaidia nini zaidi ya kuitia umaskini tu TZ
 
Umasikini wa wananchi hautolani na wao wenyewe tena kwenye taifa kama hili la Tamzania kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri awe na economic stability.

Kinachowafanya watu wawe masikini ni mifumo mibovu ya uongozi na usimamizi wa mifumo ya nchi na rasilimali zake, just imagine hao masikini unaowaona wewe
1. Wananyimwa elimu bora inayoendana na mazingira yao.
2. Wananyimwa elimu ya ujasiriamali kulingana na rasilimali zao zilizopo nchini.
3. Wananyimwa elimu ya uwekezaji kwenye rasilimali zilizopo nchini.
4. Wanatozwa kodi kibao kila kukicha, je wao wanakosa gani? Ukiwa na akili timamu utajua chanzo cha umasikini hapo ni nini.
 
Uko sawa ila kwa namna unavyotafsiri mambo na kutasimamia, napata mashaka kwa wanafunzi unaowafunza, napata mashaka na diplomasia yako, nahisi we ni mwanasarakasi wa kimataifa kama ulivyojitambulisha.

Na kuhusu uadhiri huenda unafundisha tuition ya chuo kikuu labda.

Ila unareflect taswira ya wasomi wa Tanzania ndiyo maana nchi iko hivi kwaajili yenu ninyi, yani me na elimu yangu hii ya bachelor degree siwezi kubaliana na mwwnendo huu ila wewe mhadhiri unapongeza ety?
 
Anzisha uzi wako wa mada ya Udini.
Usichafue thread ya mwenzio
 
Mwalimu Nyerere ndo tumulaumu hakuweka vizur miundombinu ya kuwaondoa maadui 4 wa taifa sasa tunaenda kuwa kama kongoo.maana mtu ameshika mali zako alafu unamuabudu..
 
Usalama wa Taifa uwa wanawainda wale watu wenye mapenzi mema na hii nchi wale wakosoaji wa serikali inasikitisha sana Tanzania
Kama unajaza Taasisi vilaza kutoka UVCCM haya ndo matokeo yake. Wao taarifa nyeti na za kufanyia kazi ni shughuli za Viongozi wa CHADEMA na kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuiba chaguzi hadi za vijiji.

We are finished kwa kweli kama Taifa.
 
Nilidhani unakuja na hoja ya kubisha uhusiano wa ule msemo na viongozi waislamu...kumbe umekuja kutetea namna bwana abdul anavyo linajisi taifa kibisumirai bisumirai😁😁😁😁
Utake usitake Samia ni muislam na ndio Rais wa TZ.
Hutaki hamia Burundi
 
Utake usitake Samia ni muislam na ndio Rais wa TZ.
Hutaki hamia Burundi
Mmakunduuchi awezi kuwa rais wa watanganyika isipokuwa kwa ufisadi tu hakuna mtanganyika wa kuchaguu huo upuuzi
 
Mwalimu Nyerere ndo tumulaumu hakuweka vizur miundombinu ya kuwaondoa maadui 4 wa taifa sasa tunaenda kuwa kama kongoo.maana mtu ameshika mali zako alafu unamuabudu..
Nyerere alifanya kwa ubora wake na kwa taaluma kubwa sana kwa wakati kama ule nchi ilivyokuwa na namna alivyokuwa anaidhibiti na kuisimamia.

Tatizo ni kwamba hiki kizazi kinachoitawala nchi kwa sasa hakijui kinafanya nini, kinajenga nini na kinaipeleka wapi nchi.

Hakuna haja ya kumlaumu Hayati Mwl JK Nyerere, inafaa tumshukuru kwa kutulinsia rasilimali zetu ila sisi tunampango gani kwa taifa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…