Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

Bila kufanya kitu saivi hata hii Tanzania wanaweza wasiikute ikapotea wakija kufika umri wa utu uzima.
 
Huwezi pingana na kanuni za kiulimwengu.

Asiyebadilika ni Mungu tu ila mambo yetu sisi wanadamu yana mabadiliko.

Hata kitabu cha biblia, kina Agano la kale na Jipya.
Unapo ingia huko kwenye dini unajivuruga mwenyewe, maana kila jambo linapingana na jingine.
Kwa hiyo kwa maana yako, tumerudi "zama" za Gomola, au siyo?
Kwa maana hiyo tusubiri kiyama na tuanze "zama" nyingine?
Mapambano ni katika "zama" zote, ndiyo maana kumekuwepo na mabadiliko chanya katika kila "zama".
 
Hii
Nyerere alikaa madarakani miaka 24! Na ndie Rais aliyetoka akituacha WaTz masikini wa kutupwa. Na alivyotoka tu hatujawahi tena kurudi ktk hali ya umasikini kama aliotuachia
Hii ni historia toka chuo kikuu cha Kariakoo, anako fundisha 'conman' Mzee Mohammed. Haishangazi mhitimu wake kama wewe kuitapika hapa.
 
Onesha hata bandiko langu moja🤣🤣🤣....Siwezi kuongea na mjinga ,kwa elimu gani basi au ushamba wa kukariri....Bongo kuna mwenye elimu ?au ukishakariri na kuvaa suruali za vitambaa unaona una elimu ...

Kama unataka mjadala hata wa kielimu weka basi !
 
Nijadili jambo na mtu kama wewe, kwa misingi ipi?
Sijawahi kukusoma popote kabla ya leo, na ninacho kisoma hapa kinatosha kabisa kunipa picha ya ubovu wako, kuanzia kwenye elimu duni na uelewa wa mambo.
Nitajadili nini na mtu kama wewe. Uandishi pekee kwako ni shida!
 
Hii
Hii ni historia toka chuo kikuu cha Kariakoo, anako fundisha 'conman' Mzee Mohammed. Haishangazi mhitimu wake kama wewe kuitapika hapa.
Je sio kweli kwamba Nyerere alikaa madarakani 24yrs?
Je sio kweli kwamba kipindi cha Nyerere watanzania ndo tulikuwa masikini wa kutupwa kuliko wakati wowote?
Kipi unachopinga hapo!
 
Kiufupi hauna uwezo wa kuniambia chochote kile kwa vile naongelea uhalisia ,wewe umekariri nataka ufungue kichwa chako sio kukariri ujinga huku darasani.
 
Mkuu umenikumbusha uchaguz wa 2020 kuna slogan ya kisenge ilkuwa inasema at "anaye lala na mama yako ni baba yako" wakimaanisha eti taifa limeolewa na ccm kwamba lazima tuipe kura. Hasa kwa wafanyakaz wa taasis za serikali.

Asee ile slogan iliniumiza kichizi na mpaka leo huwa nnawaza hivi kati ya taifa na ccm nani kaolewa na mwenzake? Nani mwenye hofu ya kupewa talaka? Nani anaye. Mkatia kiuno mwenzake iliasiachwe?

Yupi anaye jibebisha? anyway ngoja niishie hapo kuwaza.
 
Kuna watu wanakufa Njaa si kwa kupenda au kuwa ni wavivu,la hasha kama hivi mabadiliko ya tabianchi,watu wamewekeza kwenye mashamba,lakini mvua zimegoma.Kilimo Cha umwagiliaji Bado wananchi wengi hawajawa na maamuzi nacho kutokana na Elimu,mitaji ya kuchimba visima nk Sina Nia ya kumkataa Raisi wetu aliyopo madarakani,Kero yangu ni Hawa wapambe vichwa box wanaotumia hela za chama au walipa Kodi kuwekeza kwenye t-shirt,kofia,vitenge nk ,kwani nani hajui Samia Suluhu Hassan ni Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania!Hata ziara zake alipo zinajulikana.Kwa Nini Machawa watumie kuchapisha hivi vitu zisitumike kujenga mifumo ya umwagiliaji,maghala ya kuhifazi vyakula nk?Tujitafakari,tuchukue hatua.
 
Wewe ukilamba miguu y kibaraka Lisu inatosha Kwa nini uumie na umpangiw mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…