Kilichosikitisha nikuomba kazi ya trainee au ni kutokuwa Meneja?Usiombe akaajiriwa maana atakuwa boss wakoBoss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao,nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa.
Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels za umeneja au head of departments.sasa huyu ndio kwanza anaomba Trainee.
Nimesikitishwa sana.
kwani wewe una miaka mingapi?Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels za umeneja au head of departments. Sasa huyu ndio kwanza anaomba Trainee.
Nimesikitishwa sana.
Mtoa post utakuwa hujitambui na ni mshamba sana nenda vyuoni ukaone watu wazima wengine over50 years wapo wanafanya bachelor degree ,nenda law school pale mawasiliano uone wazee wanapiga law school which is just like practical training ya sheria
Unaweza usifike mbali kwenye maisha kulipo huyo jamaa unayemshangaa Mungu anamipango yake kwa kila mtu.
Omba na sali sana pia umshukuru Mungu kwa alichokubariki acha kudharau watu unaweza kufa au hata kuachishwa kazi wakati huyo jamaa anayeomba kuwa trainee akafika mbali sana kwenye maisha.
Tambua maisha ni safari ndefu na fumbo kubwa sana acha ushamba wa maisha embu kasome uelewe KFC alivyosota sana na alipata mafanikio akiwa na umri wa miaka 75 nahisi utajielewa
Baada ya kusikitika ukaona bora uje kumtangaza humu. SmdhBoss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels za umeneja au head of departments. Sasa huyu ndio kwanza anaomba Trainee.
Nimesikitishwa sana.