Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,969
- 7,137
Akili za JF bhana ππ kwa hiyo mnataka hadi kozi ifutwe ! Sio kila kitu ni pesa vingine ni huduma yaan hata watu waache kulipwa lazima watu wafundishweHao wameshayatimba wamejichanganya
Kinachosikitisha ni kuona bado vyuo vinafundisha kozi za ualimu
Hata Mimi nikiwa na umri kama wako nilikuwa mjinga kama wewe ila nimekua nimeyaonaMiaka ya nyuma watu walikuwa wanaenda kusomea ualimu kwa sababu ya urahisi wa kupata mkopo (HESLB) na ajira za serikalini na shule binafsi, pia kutokana na kukosa taarifa sahihi juu ya maisha na mazingira ya walimu kwa ujumla.
Watu wengi wamesomea ualimu kwa sababu hizi, lakini baadae wamekuja kujutia sana kwa uamuzi wao mbovu kwani walikuwa wana machaguzi mengi ila wakakosea kuchagua ualimu.
MAMBO YAMEBADILIKA SASA
Unaweza kusomea UALIMU na usipate mkopo na ukahangaika kutafuta ajira kama kada nyinginezo, na ukipata pia utaishi maisha ya kifukara sana hadi kujutia uamuzi wako.
1. Kwa nini usomee kazi ambayo una uhakika 70%+ wa kuishi maisha magumu na mazingira magumu ambayo huwezi kuinjoi elimu yako.
2. Kwa nini usomee kazi ambayo itakufanya uishi kinyonge/kifukara zaidi wakati wewe ni msomi?
3. Hivi kweli mtu umesoma hadi degree unalipwa laki moja? Moja na nusu/ mbili/tatu tempo au private.
4. KUMBUKA hii ndio kada yenye mshahara mdogo zaidi Tanzania na ni kada isiyo na allowances za aina yoyote + majukumu mengi+ maboss wengi ( anayebisha aje kiniprove - wrong)
YAANI HATA WALIOISHIA DARASA LA SABA/FORM FOUR ni ngumu kukubali kufanya kazi ya hivyo
( Degre take home <600k?)
USHAURI
KAMA unatarajia kuingia chuoni mwaka huu achana na mawazo ya kusomea program kwa ajili ya urahisi wa kupata mkopo au ajira ( kwa sasa ajira zote ni ngumu kupata)
Tafuta kazi ambayo baada ya kusota kutafuta ajira na ukapata at least utaenjoy matunda ya elimu yako; mazingira + pesa ( at least mshahara + posho ufike mara mbili ya mshahara wa teachers)
MUDA SAHIHI WA KUBADILISHA MAISHA YAKO NI KABLA HUJAANZA KUINGIA KWENYE MFUMO, UKISHAINGIA HUKO KUTOKA NI NGUMU SANA.
SUPPORT
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1QnrDbRfFE/
NOTE
Nawatahadharisha mapema, haya nayosema ni kwa uzoefu sio kwa kusikia.
Nimesomea bachelor ya ualimu na sasa nimeanua kukimbia nasoma masters ya KEMIA.
KUHUSU uandishi mtanisamehe, nimeandika chap kwa haraka
Kila kada inatoa huduma kwa namna moja au nyingine, kwa nini kada hizo tu ndio zionekane hazifai kupewa maslahi stahiki?Maisha hayaishii katika pesa tu na vitu vya kifahari , mtu anayewaza kuhusu pesa na mali ni ubinafsi wa hali ya juu ! Watu wote hawawezi kuwa Bakhresa au kulipwa pesa kubwa kubwa ndo mfumo wa ubepari ulivyo hilo ni swala la serikali kujitambua
Kazi nyingine ni huduma mkiwaza pesa na mali nani atatufundishia watoto nani atatibu wagonjwa , nani atakaa nursing home, nani atakutengenezea bomba la maji ya moto tajiri , nani atakuandalia meza yako wakati wa kula tajiri? , nani atadeki vyoo vya wanao shuleni ?
Dunia au nature ina jinsi ya kujiendesha ππ yaan hizo kazi hata wakifuta mishahara lazima kuna watu utakuta wanazifanya kwa sababu kabla ya pesa na mali huduma inatangulia na ndo maana yote unayoyaona leo walioyatengeneza hawakufaidika nayo wemeacha tu majina !
Wafikirie kina Newton , Galilei, Marie Curie n.k theories zao zimefanya mangapi kuna kampuni zinapiga pesa kinyama kwa vitu ambavyo wenzao walivifanya kama sehemu ya majukumu yao au passion.
Hivyo hivyo unavyopenda mali na pesa au kazi fulani kubwa kubwa kuna wenzako wanaupenda ualimu damu damu anaona ni kitu kinachomfurahisha na anakifanya kwa amani !
Na kuna watu hiyo kazi unayoota au unatamani kuifanya kwa sababu ina mshahara unaouona mkubwa wanaiona kama takataka.
Your chronological growth is inversely proportional to your mental geowthHata Mimi nikiwa na umri kama wako nilikuwa mjinga kama wewe ila nimekua nimeyaona
Walimu waliopo mitaani tayari ni wengiAkili za JF bhana ππ kwa hiyo mnataka hadi kozi ifutwe ! Sio kila kitu ni pesa vingine ni huduma yaan hata watu waache kulipwa lazima watu wafundishwe
" Law of demand and supply"Akili za JF bhana ππ kwa hiyo mnataka hadi kozi ifutwe ! Sio kila kitu ni pesa vingine ni huduma yaan hata watu waache kulipwa lazima watu wafundishwe
Njoo tudai reform mkuuUshanielewa wewe,
Lengo la mtu kusoma sio kwenda kufanya kazi ya wito tu,
Lengo ni mtu kufanya kazi/kuhudumia jamii huku na yeye apate personal development.
Inawezekana vipi kufanya kazi kwa wito huku una mzigo wa madeni, kodi, mahitaji ya nyumbani?
Kwenye interview iliyopita Kuna somo walikuwa wanahitajika <200 ila wameomba watu 21,000.Walimu waliopo mitaani tayari ni wengi
Mbona kuna jamaa yangu teacher anakunja 1.2milion.Kila kada inatoa huduma kwa namna moja au nyingine, kwa nini kada hizo tu ndio zionekane hazifai kupewa maslahi stahiki?
Mimi sisemi watu walipwe milioni 2+ au wawe matajiri kwa mshahara,
angalau mtu wa degree awe na uhakika wa kupata 900k take home kwa mwezi
ila Hussle zote mtu apate take home chini ya 600k? kisa kutoa huduma?
Ukikua hata hiki za ajabu ajabu utakuacha hata mm nilikuwa mjinga kama wewe!!;Your chronological growth is inversely proportional to your mental geowth
Inatosha sasaKwenye interview iliyopita Kuna somo walikuwa wanahitajika <200 ila wameomba watu 21,000.
Hata hayo mason ya Sayansi, chemistry na Biology walikuwa wanahitajika watu 500, 500.
Ila waombaji kila somo ni 10,000+ yaani 1:20
Wapi huko kazi chap uwaunganishe washikaji wapo mtaani wamesoma maths na physics mkuu.Mkuu ualimu sio kila sehemu jau maana now ukisoma physics na Math unapata kazi chap.
Upo sahihi kabisa mkuu.Kazi ya ualimu nimeifanya since 2013. Huyu dogo mtoa mada ameongea ukweli asilimia mia.
Form six nilimaliza 2009 HGL nilipata one. Ndoto yangu ilikua kusoma Sheria Udsm, but nikaamua kusoma education kutokana na uhakika wa mkopo na ajira. Maana nilijua kwa situation ya nyumbani hiyo course ya law ingenichelewesha sana.
So nikasoma Education pale udsm main campus 2009-2012 japo education haikua moyoni kabisa. Then 2013 nikaajiriwa,
Nilichogundua kazi ya ualimu ukiishi kwa kuitegemea utaishi maisha ya kimasikini sana, kwa kuwa mimi nipo moja ya majiji hapa nchini so najichanganya mjini kufanya mishe zangu but kazi ya ualimu naifanyia kwa ajili ya mshahara na sijaiweka akilini. Kazini siendi kila siku sometimes nakomaa na mishe zangu...
Japo mshahara sio haba sana but nahisi na deserve zaidi coz nimefanya kazi muda mrefu. Waseng*e akina Magufuli na akina Sa100 wanaongeza mshahara wakijisikia....
Moja ya kitu kinanikera jamii inadharau sana walimu, na wengi wanaona walimu ni watu waliofeli na waliokosa kazi. Yaani hata wanafunzi unaowafundisha wanaamini wewe ni failure.
Mwaka flani nilienda pale udsm kufuatilia mambo yangu nikakutana na wanafunzi wangu wawili niliowafundisha form four wakati naanza kazi wanasoma udsm... Wale madogo walishangaa sana baada ya kugundua kuwa nilisoma hapo udsm π π€£π hawa watoto sijui wanatuchukuliaje..
Km ulivyosema, bora hata sisi tuliosoma zamani enzi hizo ajira ni uhakika... Hawa wanaosoma education siku hizi sijui inakua lengo ni nini. Nikimwona mtu anasoma education huwa nachoka kabisa, hawa madogo ambao wako field huwa nawaangalia mpaka nachoka.Upo sahihi kabisa mkuu.
Yaani siku hizi mtu akijua wewe ni mwalimu obviously anakuona ulifeli aidha O'level ama advance ndiyo ukakimbilia huko.
Siku hizi kama madaktari wanasota mtaani hadi wanafanya kazi kujitolea private kwa mshahara wa laki 3 unadhani kada kama ualimu ugumu wa ajira utakuwaje?
Yaliyokukuta wewe ndiyo yaliyonikuta mimi.Kazi ya ualimu nimeifanya since 2013. Huyu dogo mtoa mada ameongea ukweli asilimia mia.
Form six nilimaliza 2009 HGL nilipata one. Ndoto yangu ilikua kusoma Sheria Udsm, but nikaamua kusoma education kutokana na uhakika wa mkopo na ajira. Maana nilijua kwa situation ya nyumbani hiyo course ya law ingenichelewesha sana.
So nikasoma Education pale udsm main campus 2009-2012 japo education haikua moyoni kabisa. Then 2013 nikaajiriwa,
Nilichogundua kazi ya ualimu ukiishi kwa kuitegemea utaishi maisha ya kimasikini sana, kwa kuwa mimi nipo moja ya majiji hapa nchini so najichanganya mjini kufanya mishe zangu but kazi ya ualimu naifanyia kwa ajili ya mshahara na sijaiweka akilini. Kazini siendi kila siku sometimes nakomaa na mishe zangu...
Japo mshahara sio haba sana but nahisi na deserve zaidi coz nimefanya kazi muda mrefu. Waseng*e akina Magufuli na akina Sa100 wanaongeza mshahara wakijisikia....
Moja ya kitu kinanikera jamii inadharau sana walimu, na wengi wanaona walimu ni watu waliofeli na waliokosa kazi. Yaani hata wanafunzi unaowafundisha wanaamini wewe ni failure.
Mwaka flani nilienda pale udsm kufuatilia mambo yangu nikakutana na wanafunzi wangu wawili niliowafundisha form four wakati naanza kazi wanasoma udsm... Wale madogo walishangaa sana baada ya kugundua kuwa nilisoma hapo udsm π π€£π hawa watoto sijui wanatuchukuliaje..
Hili ni Janga kabisa na watu wanaona sawaNjoo DSM uone walimu wanavyoforce, hadi week end + sikukuu wanalazimisha watoto waende school kisa 100 au 200 za wanafunzi
mtu anauza biskuti ya 200 kwa 1000( USHIRIKIANO)
Ualimu ni betting mkuuHabarini wadau