granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
mkuu huwa naheshimu sana michango yako hapa jf, ulichoandika is too low kwa mtu wa kaliba yakoKwani Iran hakuna uchaguzi wa Rais na wabunge tena wa kidemokrasia? Ila mbona walisema ni regime change au ikiwa Iran ni regime ila Israel inakua democracy?
Kingine Israel ni indirect democracy, ndio maana wanapigia kura chama sio mgombea kama mgombea. Ukishapigia chama ndio kinaamua nani awe mbunge (hata kama raia humtaki) na pia kinaamua waziri mkuu (kiongozu wa serikali) bila maamuzi ya raia.
No wonder Netanyahu alipata 20% pekee ya kura ila amekua waziri mkuu kinyume na matakwa ya wananchi wa israel
Anaondoka huyo jamaa ila huyo anayeingia nasikia ana roho mbaya zaidi ya nyau na anataka kuifuta Gaza na palestina kabisaKesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...
Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...
Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...
Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...
Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...
Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...
Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....
Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...
Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...
US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...
Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...
Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..
Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...
Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....
Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Kufanya hayo haihitaji uwe una roho mbaya, inahitaji uwezo...Anaondoka huyo jamaa ila huyo anayeingia nasikia ana roho mbaya zaidi ya nyau na anataka kuifuta Gaza na palestina kabisa
Haina shida myahudi kutoka Kibondo..sawa shekhe matopetope
InshaAllah, Mwenye-ez-mungu atujaalie uhai na afya njema. Tayari 500 yangu ya bando ninayo.Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...
Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...
Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...
Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...
Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...
Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...
Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....
Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...
Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...
US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...
Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...
Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..
Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...
Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....
Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Too low ni kipi?mkuu huwa naheshimu sana michango yako hapa jf, ulichoandika is to low kwa mtu wa kaliba yako
Ulikua huwezi kumaliza bila propaganda? Ni hivi Netanyahu atatolewa tu whether aje shetani au ibilisi ila Netanyahu is no more.As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.

Itapendeza sana.Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...
Alikuwa akiongea sana kuhusu regime change ndani ya Iran lakini yeye ndiye anakwenda kutoka madarakani...
Gadi Eisenkot ndiye anakwenda kuwa waziri mkuu mpya wa Israel...
Ni pigo la aina yake kwa Netanyahu...
Majuzi hapo tarehe 19 October, Israel wamerusha jet fighters na tanker zikapita Syria na Iraq, zilipokaribia kabisa na mpaka wa Iran wakapiga kona na kurudi Israel... Iran iliona jets zote kwenye radar, wakaacha kushambulia...
Netanyahu alichokuwa anataka ni Iran ianze ku shoot, halafu vita ilipuke... Uchaguzi uahirishwe.. ili Netanyahu aendelee kukaa kitini...
Kwa kutambua hilo Iran imetulia ikisubiri regime change ndani ya Israel....
Israel walipoulizwa na US kwanini walirusha jets mpakani mwa Iran, wakajibu walikuwa kwenye mazoezi...
Gadi anamuumbua Netanyahu kwamba anataka kuvuruga uchaguzi kwa kuanzisha vita isiyo na maana... Sasa nasikia Netanyahu na mkuu wa majeshi IDF wana mvutano, Netanyahu anataka aanzishe vita kuvuruga uchaguzi huku mkuu wa majeshi anasita maana wapinzani wanamuambia asijaribu...🤣...
US napo kuna uchaguzi wa midterm hapo November, hivyo vita ingetokea ilikuwa ni pigo kwa Trump, Sasa Trump amemkataza Netanyahu asianzishe vita...
Hali ni mbaya sana kwa Netanyahu maana kwa mujibu wa kura za maoni Netanyahu uwezekano wa kushinda ni mdogo...
Vita ilianza mafuta yapo bei chini, Hirmuz ipo wazi...
Hivi sasa mafuta yapo juu, Hormuz imefungwa na Iran..
Makombora wanayo, IRGC ipo, Uranium wanayo...
Obama ameongea huko Ohio kwenye mkutano wa kampeni kuhusu hio vita , ameongea ukweli ambao pro Israel huwa hawataki kusikia....
Nitunze maneno, Netanyahu safari yake imefika tamati...
Tukutane kesho tukishuhudia Netanyahu anaachia kiti...
Ana kesi za ufisadi pia...Akipoteza kiti apitilizie the Hague ile warrant ya kumkamata si bado ipo hai?
Kwa namna Netanyahu anavyotaka kuanzisha vita kipindi hiki cha kampeni ni uhalisia kwamba yeye mwenyewe anaelewa nini kinafuata...People don't know about the Israeli election system and they think it's just like other elections in other democracies.
The latest Channel 12 opinion poll puts Gadi Eisenkot first with 23 seats, ahead of the Likud with 21, though other pollsters differ. On the pro-Netanyahu Channel 14, Likud is projected to take 30 seats and Eisenkot about 20. In head-to-head matchups about who is better suited to be prime minister, Eisenkot has led Netanyahu by a steady margin.
But coming out as the largest party is not enough to win. A prime minister needs 61 seats to form a government, and no party has ever won that majority alone. So, election night usually settles very little. The real contest is the coalition calculus that follows, which can take days, weeks, and even months.
So it's a different ball game unlike what people think and for that matter the victory hangs in balance between the two vanguard horses.
As for the fate of the terrorists, they will have nothing to smile about when, at last, the winner is declared because either of the candidates are averse to terror.
Ndoto za w Mwendawazimu hizo!!!! Chuki dhidi ya Netanyahu zitawatokea kwenye makalio yenu!!!Kesho 27th October Benjamin Netanyahu anakwenda kuachia ngazi...