Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

Sio rahisi
 

..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.

..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.

..wote wanapaswa kuwajibishwa.
 
Kwa Israel kupambana na ugaidi ni sera ya nchi na haijalishi nani yuko madarakani.
 
Ndoto za w Mwendawazimu hizo!!!! Chuki dhidi ya Netanyahu zitawatokea kwenye makalio yenu!!!
Sioni sababu ya Mwamba Netanyahu kushindwa maana ameifanyia mambo makubwa Israel hasa baada ya mauaji ya Oct 07,2023!,
Aliyesababisha mauaji ya Oct 7 ni Netanyahu mwenyewe, husikilizi Eisenkot anavyomkosoa?

Punguza mahaba... Netanyahu ana kesi ya ufisadi...
 
..regime change inatakiwa Israel, Iran, na Marekani.

..watawala wa nchi zote tatu ndio chanzo cha vita iliyotokea.

..wote wanapaswa kuwajibishwa.
Israel na US pekee...
Kwani aliyeanza kwenda kumshambulia mwenzake ni yupi?
Ulitaka Iran ikishambuliwa wakae kimya?
Halafu Iran itokee regime change?
 
Netanyahu a.k.a Bibi amekuwa waziri katili katika Taifa la Israel haijawahi kutokea.
Waisraeli/ wayahudi wamemchoka sana, hawataki kumuona tena.
 
Netanyahu a.k.a Bibi amekuwa waziri katili katika Taifa la Israel haijawahi kutokea.
Waisraeli/ wayahudi wamemchoka sana, hawataki kumuona tena.
Before Oct 7, Egypt intel chief alimpa taarifa za Intel Netanyahu kwamba Hamas wanapanga kufanya mashambulizi...

Netanyahu akaacha Hamas wafanye makusudi, ili apate sababu kamili kuichukua Gaza.. wataalamu na wachambuzi wanasema siku hio ulinzi ulikuwa chini...

Jambo lile Israel ingeweza kuzuia... Lakini Netanyahu ni kiongozi katili ambae anajali maslahi yake tu.

Netanyahu anategemea vita sana ili impe political mileage...
Ndio maana hata hapo Oct 19 juzi tu hapo, alitaka tena kuanzisha vita na Iran ambayo haina mbele wala nyuma...

Hivyo Netanyahu hajali maisha ya Waisraeli wala hajali yeyote, anajali maslahi yake pekee...

Hilo suala alilosema Gadi Eisenkot limemuharibia sana... na anaelewa anapoteza uchaguzi...

Wananchi wanaona Netanyahu ndiye alisababidha mauaji ya Waisraeli na mateka... in short ana hali ngumu kisiasa...
 
Kwa Israel kupambana na ugaidi ni sera ya nchi na haijalishi nani yuko madarakani.
Kupambana na ugaidi si kila nchi ina sera na sheria ya kupambana ikiwemo hadi Palestina yenyewe ina sheria ya kupinga ugaidi!

Issue ni utekelezaji, mfano unaweza pambana na ugaidi kwa kujenga mahusiano, mazungumzo ya amani, ndio maana Syria ipo chini ya Rais wa Al Qaeda ila hawajawahi ivamia israel.

So sio kila wakati makombora ndio yataleta amani
 
Netanyahu anapaswa kuondoka Madarakani mana kashindwa alakati zake mbele ya Palestine mbele ya Hezbollah mbele ya Houthi na Iranian yenyewe!!

Kuendelea kuwa kiongozi wa Israel kutakuja kumfanya kuwa kiongozi wa mwisho kutawala Israel

mana pande pinzani na Israel wanadhidi kuwa na nguvu kila kukicha ✍️
 
So unamaanisha akiondolewa netangahu sera za Israel dhidi ya Iran zitabadilika?
 
Ukistaajabu ya Brazil utayaona ya Israel. Chaguzi za kisiasa huwa na matokeo ya kikatili sana.
 
Zimebaki dakika 14 polls zifungwe tuanze kupata matokeo ya mwanzoni kwenye vituo mbali mbali huko Israel...
 
Netanyahu amepost twitter x dakika kadhaa zimepita...🤣🤣😂🤣
 
Sijasema hivyo ndugu...
Nimesema alihitaji regime change in Iran sasa regime change inatokea Israel..
Sasa mkuu hiyo sio regime change, ila Iran kama utawala wake ungeangushwa Sasa hiyo ndo regime change mana utawala mpya lazima ungekuja na sera mpya
 
Wayahudi ni kawaida yao hiyo,wapo radhi kuuwauwa wenzao kwa kuangalia maslahi yao . Tabia hiyo ya kitambo na imejengwa kwenye mfumo wao kwa muda mrefu. Kwa hiyo Bibi yupo radhi ku-risk maisha ya wanajeshi au raia ili kuanzisha vita na Iran na kujinusuru kisiasa ni kawaida kwao.

Kuna kipindi 1940 ambapo shirika lao la jeshi na ujasusi liliweka bomu kwenye meli iliyokuwa imebeba wakimbizi Wayahudi kutoka Ulaya. Lengo lilikuwa kuzuia meli hiyo isiondoke Haifa na kuwapeleka wakimbizi hao Mauritius,wayahudi wenzao 250 walikufa. Pia wana ile doctrine yao nayojulikana kama Hannibal Directive. Hii inawaruhusu wanajeshi wao kumpiga risasi na kumuua mateka wao mwenyewe ili asije akachukuliwa na adui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…