Inasikitisha Sana Kuona Regime Change Inakwenda Kutokea Israel Badala Ya Iran

Mshindi
siasa za israel,zinaruhusu vyama kuungana kuform a go ernment baada yà uchaguzi,hivyo hata Netamyahu likud ikifail,wanaweza ungana na vyama viwili vitatu kuunda serikal
Eisenkot amekataa kuungana na Netanyahu...
 
Ila ndio ameanguka uchaguzi, hana mandate ya wananchi. Na hao waarabu wana viti 16 so obvious wataingia upande wa Gadi na ndio bye bye kwa Netanyahu. Ajiandae kwenda jela tu maana kesi yake ya ufisadi itaanza sikilizwa kwa mfululizo
Furaha yangu na wengi ni Netanyahu atoke.. hata kama Gadi atakuwa na misimamo mikali kuliko Netanyahu ni sawa...

Netanyahu apitie misukosuko, kutoka kwenye power ni pigo kubwa mno kwake... ni maumivu yasiyo elezeka...

Ameua sana huyo shetani... and it's time awe analala usingizi wa mang'amung'amu... katikati ya usingizi awe anashtuka huku jasho likimtoka asiamini kama yeye si waziri mkuu tena wa Israel...

Kujimwambafy, kiburi, kujiona na ubabe ifike mwisho....
 
Uchaguzi sio regime change mkuu
 
Uchaguzi sio regime change mkuu
Trump alisema wamefanikiwa kufanya regime change ndani ya Iran...
Lakini kiuhalisia regime change haijatokea Iran...

Kama Israel Netanyahu ataondoka na gang yake na inaingia serikali mpya ambayo inapingana pakubwa na Netanyahu na ina sera zitakazotofautina na za Netanyahu, kwanini tusiseme ni regime change...

Netanyahu alijitia mjuaji sana kila mara akisema regime change ifanyike Iran, sasa serikali yake inaondoka, ndio maana nasema regime change imetokea kwake...
 
Regime change ilianza kutokea Iran baada ya Kobaz kuuwawa umesahau we pimbi
 
humjui netanyahu wewe,pale juu hatoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…