Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Ukitaka jua kuna udini nenda kaombe kazi pale Buguruni
 
Kaka hiyo ni kampuni binafsi. Huwezi ipangia. Na wewe watu wa dini yako wafungue kampuni upate kazi.
 
Azam wanamatatizo ya kuegemea dini ya kiislam na kwenye mpira faulo za azam awazi replay. Niliachana nao nikahamia DSTv
 
Azam wanamatatizo ya kuegemea dini ya kiislam na kwenye mpira faulo za azam awazi replay. Niliachana nao nikahamia DSTv
Mkuu umehama kisa marudio ya faulo?
 
My point is protocol za watu ziheshimiwe.
But then the point had an irrelevant and invalid example kufananisha huduma za World Vision na Azam TV umekosea japo poin yako iko sawia. Maudhui na hadhira za World Vision na Television station ni vitu viwili tofauti, moja asasi ya dini na nyingine ni kampuni ya kutoa huduma kwa umma.
 
Mchungaji Kimaro amesema wazi kazi zake anafanya na vijana wa kiiislamu ,nyie wavaa rozari wenzake huwa munampiga na kitu kizito

mkuu hebu tuekee hiyo clip tufurahi na sisi
 
Wagalatia kinachokuteseni ni chuki zilizojaaa ndani ya nafsi zaenu.
 
Hiyo ni kampuni yake binafsi na ndio maana hata kajenga na vimsikiti vidogo vya kuswalia kwenye kampuni zake na sio makanisa
 
Kuna watu humu wana midomo mirefu kama kambare.
Kazi zenu kubishana kuhusu dini asubui dini jion.
Kudhalililishana tu.
 
Ulikuwa applicant na ghafla ukawa interviewer na ukabaini hawana sifa
Apo sasa alijuaje kama hawana sifa wewe ndio unaleta udini kwamba ukikosa tu umebaguliwa kwamba waislamu hawapaswi kufanya kazi na hawana sifa? au
 
Ukiwachukua wakristo 10 na muislam 1 ukawaambia waende kuishi pamoja, huwezi kukuta wakristo wanambagua kwasabb ya dini ila ukiwachukua waislam 10 na mkristo 1 ukawaambia wakaishi pamoja. Watambagua kwasababu ya dini.
Hii sio kwel hata uislamu haufundishi hivi unazungumzia kwa hisia hutumii akili naona kwa sasa muislamu akipata cheo au nafasi yoyote ile basi ni udini as if ivyo vyeo na fursa zipo kwa ajili ya wakristo tu lakin huwez kumsikia muislamu akilalama kwenye izo fursa akipewa mkristo ndio apo utakuja kujua wakristo ndio wadini na ubinasfi Mimi ni muislamu lakin nimepata kuwa na marafiki wengi wa kikikristo na sijaona shida na tunasaidiana kwa mambo mbalimbali bila kujali tofauti zetu za Imani zaidi zaidi wanavutiwa na Mimi wakiniona ni mtu mwema na mkarimu Sana na huo ndio uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…