Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Siyo kwa hisia. Huo ndiyo ukweli 100%Hii sio kwel hata uislamu haufundishi hivi unazungumzia kwa hisia hutumii akili naona kwa sasa muislamu akipata cheo au nafasi yoyote ile basi ni udini as if ivyo vyeo na fursa zipo kwa ajili ya wakristo tu lakin huwez kumsikia muislamu akilalama kwenye izo fursa akipewa mkristo ndio apo utakuja kujua wakristo ndio wadini na ubinasfi Mimi ni muislamu lakin nimepata kuwa na marafiki wengi wa kikikristo na sijaona shida na tunasaidiana kwa mambo mbalimbali bila kujali tofauti zetu za Imani zaidi zaidi wanavutiwa na Mimi wakiniona ni mtu mwema na mkarimu Sana na huo ndio uislamu
Muislam ndugu yake ni muislamu mwenzake.
Mfano hai.
Mkiwa watu 10, watano ni waislamu na watano ni dini nyingine. Mkienda kwa muislam kuomba msaada au kupata huduma fulani basi watakaoanza kupewa msaada ni waislam, nyie wa dini nyingine mnaweza msipewe msaada au huduma kabisa. Kama mtapewa hailingani 100% na ile waliyopewa waislamu.