byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,059
- 946
Hivi kwanini sijawahi kuona ushungi ITV au huko kuvaa ushungi hairuhusiwi?
Na huo si udini wajameni au
Na huo si udini wajameni au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani mtu mwenye diploma anaweza akawa hayajui matumizi sahihi ya choo?Brother lazima ujue matumizi sahihi ya choo hususan haja ndogo sio unaenda unaposti tu umesimama mlangoni taratibu lazima zifuatwe ili kukwepa najisi.
Fatuma nyangasa amekaa hapo ITV kitambo tuHivi kwanini sijawahi kuona ushungi ITV au huko kuvaa ushungi hairuhusiwi?
Na huo si udini wajameni au
arise and shineAGAPE TV
EMANUEL TV
UPAKO TV
Umeshindwa kuangalia hizo mkuu?
Ndugu zetu hawa ni shiiiida sana baadhi ni waelewaWewe unadhani mtu mwenye diploma anaweza akawa hayajui matumizi sahihi ya choo?
Tusibishane mkuu ila nakwambia hii dunia tupo baadhi yetu tumejisahau sana kwenye haya maisha kama ikawa ni kwa sababu za kidini au kimafanikio,hata kama mimi sikutumia choo inavyotakikana kiubinaamu inabidi wewe uwajibike kwa makosa yangu ukiingia mwaga maji mengi ndiyo utumie siyo unaita watu wa usafi huku mimi nakuona.
Vitu vya kukumbushana hata kuumbuana ni kwenye public toilets ni pale mtu ameingia ameacha mavi haja-flush choo huyu muite hadharani mwambie mengine yanavumilika,jamaa aliniambia kwa uchungu sana ukichukulia kazi yenyewe aliipata kwa manati na wakati huo alikuwa na hali mbaya sana kimaisha ila akaniambia "bro,mimi pale sipawezi bora kulala njaa kuliko mateso ya kunyanyapaliwa"
Niliomba uwakala wa bidhaa zao nikawekewa ngumu, mdau mmoja akanitonya, nikatumia mtu mwenye jina la feisal salum, nikapata fasta.Hawa jamaa most of wafanyakazi wao ni wale wenye majina ya suruali fupi.
Most of guys wenye majina tofauti na hayo ni labda wenye special skills au reputation nzito ndio wako pale.
Angalia viwandani mwao wafanyakazi wa kike wengi na vitambaa kichwani.
Angalia tamthilia zao nyingi ni zile za ku-glorify itikadi yao.
Siku moja basi walete na tamthilia ya historia ya Yeshua kama walivyofanya kutuletea ya mtume. Too bad it cant happen.
Bias and unproffesional, sishangai kwa entity ya itikadi ile.
Hii hata kwenu ipo ila sisi sio walalamikaji.Ndugu zetu hawa ni shiiiida sana baadhi ni waelewa
Utashangaa huyo niliyem-quote hapo juu anasema habari za mkojo kutia najisi ila anasahau kwamba chooni haingii peku anaingia na viatu ambavyo toka alikotoka navyo kwao amekanyaga uchafu usiohesabika ila anaona kumbagua mwenzake kwa sababu anahisi ameacha mkojo juu ya choo siyo tatizo wala dhambi.Ndugu zetu hawa ni shiiiida sana baadhi ni waelewa
Huu ni uongo...hili nimelifanyia tafti Mimi mwenyewe baada ya kuliona hapa jfTotally azam ni mdini, king'amuzi chake kajaza channel za imani yake na imani ile anaweka moja au mbili kama geresha tu akamate wateja. Kama si ligi kuu kurushwa kwake ving'amuzi vyake vingedoda sokoni. Kapewa masafa ya umma hebu atende haki kwa wananchi wote waone mambo yao yakirushwa kupitia azam media.
Haahaaa .hao wapemba hawajakutana na wehu...ningekua mimi ningeenda chooni mara 100 kwa siku...yani wangekoma manjonjo yanguMimi nadhani waachwe tu as long as hakuna aliyewakopesha wala kuwapa mtaji acha wafanye wanachokitaka ukiweza wahame.
Nina binamu yangu mwaka 2019 aliajiriwa pale Buguruni kwenye kiwanda chao wale wapemba walimbagua vibaya jamaa aliondoka hata miezi sita hakumaliza,alikuwa akiingia chooni hawaingii wao mpaka wamuite mfanya usafi aje asafishe na wanamuita kabisa akiwa anaona,Waafrika kubaguana kwa vitu vya kijinga kwa sababu ya hizi dini kunaivuruga sana jamii.
Ukweli ni huo.
channel zipi hizo? Kimsingi azam hatakiwi kupendelea dini anayoiabudu katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini. Suala la ajira nalo asipendelee sana wa dini yake, ajifunze kwa wenzake wa media wanavyoajiri bila kutazama diniHuu ni uongo...hili nimelifanyia tafti Mimi mwenyewe baada ya kuliona hapa jf
Nimezihesabu channel za dini ya kikrosto katika kinga'amuzi cha Azam ni nyingi kuliko channel za Islamic
Note: Mimi ni muumini wa dini ya kiislaam
Kuweni waadilifu katika maneno tunayoyasema even if is out of our favor
duh! Mnajua mpaka imani za wamiliki wa ving'amuzi, hii kaliMbona continental ni wasabato hatusemi?Na TING ni king'amuzi cha kilokole pia?mtoa mada acha udini
nadhani kule kutakuwa kuna dressing code kampuni iliyoweka, maana hakuna ushungi kuleHivi kwanini sijawahi kuona ushungi ITV au huko kuvaa ushungi hairuhusiwi?
Na huo si udini wajameni au
Mkuu mbona una makasiriko kana kwamba hiyo dini ni mali yako.Mwambie Kardinal Pengo asile sadaka zenu tu , awafungulie Azam yenu muajiriane wakristo.
Wacha kuleta akili ya govi la kikafiri iliyojaa kichwani mwako
we mbwa mweusi .kwahiyo hutaki watu wavae hijabu.Hiyo ni ya Mzanzibari na wazanzibari karibu wote ni wabaguzi, angalia yanayoendelea awamu hii ya sita, uvaajinwa maushungi umeongezeka kwa kasi maofisini na kila mwanamke mteule wa rais anajitahidi kuvaa kama rais ili aonekane ni mwenzake na afikiriwe zaidi. Teuzi na nafasi nyingi za ajira wanapewa wazanzibari na waumin