Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

wachadini hao sijui wanataka waone pale Azam two wameekwa kwaya kuanziaa asubuhi mpaka jioni wakati kuna Tv za dini zipo acheni ujinga kila mtu afanye yake km hiko king'amuzi hakikufai nunua Dstv njoo uniuzimie mm mkuu hicho cha Azam.
 
Totally azam ni mdini, king'amuzi chake kajaza channel za imani yake na imani ile anaweka moja au mbili kama geresha tu akamate wateja. Kama si ligi kuu kurushwa kwake ving'amuzi vyake vingedoda sokoni. Kapewa masafa ya umma hebu atende haki kwa wananchi wote waone mambo yao yakirushwa kupitia azam media.
 
Brother lazima ujue matumizi sahihi ya choo hususan haja ndogo sio unaenda unaposti tu umesimama mlangoni taratibu lazima zifuatwe ili kukwepa najisi.
Wewe unadhani mtu mwenye diploma anaweza akawa hayajui matumizi sahihi ya choo?

Tusibishane mkuu ila nakwambia hii dunia tupo baadhi yetu tumejisahau sana kwenye haya maisha kama ikawa ni kwa sababu za kidini au kimafanikio,hata kama mimi sikutumia choo inavyotakikana kiubinaamu inabidi wewe uwajibike kwa makosa yangu ukiingia mwaga maji mengi ndiyo utumie siyo unaita watu wa usafi huku mimi nakuona.

Vitu vya kukumbushana hata kuumbuana kwenye public toilets ni pale mtu ameingia ameacha mavi haja-flush choo huyu muite hadharani mwambie mengine yanavumilika,jamaa aliniambia kwa uchungu sana ukichukulia kazi yenyewe aliipata kwa manati na wakati huo alikuwa na hali mbaya sana kimaisha ila akaniambia "bro,mimi pale sipawezi bora kulala njaa kuliko mateso ya kunyanyapaliwa"
 
Fungua nawewe kampuni yako uwaajiri wenye majina ya suruali ndefu
 
Wewe unadhani mtu mwenye diploma anaweza akawa hayajui matumizi sahihi ya choo?

Tusibishane mkuu ila nakwambia hii dunia tupo baadhi yetu tumejisahau sana kwenye haya maisha kama ikawa ni kwa sababu za kidini au kimafanikio,hata kama mimi sikutumia choo inavyotakikana kiubinaamu inabidi wewe uwajibike kwa makosa yangu ukiingia mwaga maji mengi ndiyo utumie siyo unaita watu wa usafi huku mimi nakuona.

Vitu vya kukumbushana hata kuumbuana ni kwenye public toilets ni pale mtu ameingia ameacha mavi haja-flush choo huyu muite hadharani mwambie mengine yanavumilika,jamaa aliniambia kwa uchungu sana ukichukulia kazi yenyewe aliipata kwa manati na wakati huo alikuwa na hali mbaya sana kimaisha ila akaniambia "bro,mimi pale sipawezi bora kulala njaa kuliko mateso ya kunyanyapaliwa"
Ndugu zetu hawa ni shiiiida sana baadhi ni waelewa
 
Hawa jamaa most of wafanyakazi wao ni wale wenye majina ya suruali fupi.

Most of guys wenye majina tofauti na hayo ni labda wenye special skills au reputation nzito ndio wako pale.

Angalia viwandani mwao wafanyakazi wa kike wengi na vitambaa kichwani.

Angalia tamthilia zao nyingi ni zile za ku-glorify itikadi yao.

Siku moja basi walete na tamthilia ya historia ya Yeshua kama walivyofanya kutuletea ya mtume. Too bad it cant happen.

Bias and unproffesional, sishangai kwa entity ya itikadi ile.
Niliomba uwakala wa bidhaa zao nikawekewa ngumu, mdau mmoja akanitonya, nikatumia mtu mwenye jina la feisal salum, nikapata fasta.
 
Ndugu zetu hawa ni shiiiida sana baadhi ni waelewa
Utashangaa huyo niliyem-quote hapo juu anasema habari za mkojo kutia najisi ila anasahau kwamba chooni haingii peku anaingia na viatu ambavyo toka alikotoka navyo kwao amekanyaga uchafu usiohesabika ila anaona kumbagua mwenzake kwa sababu anahisi ameacha mkojo juu ya choo siyo tatizo wala dhambi.

Akili za hivi mimi huwa nasema bora Mungu aninyime tu maana ni za kiduwanzi.
 
Totally azam ni mdini, king'amuzi chake kajaza channel za imani yake na imani ile anaweka moja au mbili kama geresha tu akamate wateja. Kama si ligi kuu kurushwa kwake ving'amuzi vyake vingedoda sokoni. Kapewa masafa ya umma hebu atende haki kwa wananchi wote waone mambo yao yakirushwa kupitia azam media.
Huu ni uongo...hili nimelifanyia tafti Mimi mwenyewe baada ya kuliona hapa jf

Nimezihesabu channel za dini ya kikrosto katika kinga'amuzi cha Azam ni nyingi kuliko channel za Islamic

Note: Mimi ni muumini wa dini ya kiislaam

Kuweni waadilifu katika maneno tunayoyasema even if is out of our favor
 
Mimi nadhani waachwe tu as long as hakuna aliyewakopesha wala kuwapa mtaji acha wafanye wanachokitaka ukiweza wahame.

Nina binamu yangu mwaka 2019 aliajiriwa pale Buguruni kwenye kiwanda chao wale wapemba walimbagua vibaya jamaa aliondoka hata miezi sita hakumaliza,alikuwa akiingia chooni hawaingii wao mpaka wamuite mfanya usafi aje asafishe na wanamuita kabisa akiwa anaona,Waafrika kubaguana kwa vitu vya kijinga kwa sababu ya hizi dini kunaivuruga sana jamii.

Ukweli ni huo.
Haahaaa .hao wapemba hawajakutana na wehu...ningekua mimi ningeenda chooni mara 100 kwa siku...yani wangekoma manjonjo yangu
 
Huu ni uongo...hili nimelifanyia tafti Mimi mwenyewe baada ya kuliona hapa jf

Nimezihesabu channel za dini ya kikrosto katika kinga'amuzi cha Azam ni nyingi kuliko channel za Islamic

Note: Mimi ni muumini wa dini ya kiislaam

Kuweni waadilifu katika maneno tunayoyasema even if is out of our favor
channel zipi hizo? Kimsingi azam hatakiwi kupendelea dini anayoiabudu katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini. Suala la ajira nalo asipendelee sana wa dini yake, ajifunze kwa wenzake wa media wanavyoajiri bila kutazama dini
 
Hiyo ni ya Mzanzibari na wazanzibari karibu wote ni wabaguzi, angalia yanayoendelea awamu hii ya sita, uvaajinwa maushungi umeongezeka kwa kasi maofisini na kila mwanamke mteule wa rais anajitahidi kuvaa kama rais ili aonekane ni mwenzake na afikiriwe zaidi. Teuzi na nafasi nyingi za ajira wanapewa wazanzibari na waumin
we mbwa mweusi .kwahiyo hutaki watu wavae hijabu.
 
Back
Top Bottom