Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo.

Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.

Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI
 
Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.

Mkuu fungua media yako utuajili sisi wakristo wenzako
 
Acha chuki dogo, Tanzania kuna free trade na economic liberalization, ina maana unachagua huduma kadiri inavyokupendeza hulazimishwi wala hakuna monopolisation.

Kama unahisi Azam wana udini , kanunue kisimbuzi chengine vipo Zuku, Agape , startimes , Zbc , au umeshikiwa bunduki uangalie Azam
 
Hujaelezea bado kua Azam ingeimarikaje zaidi kama ingeacha udini?

Inaonekana wewe ndio mdini na kichwani ni empty set,umeenda Azam kuomba kazi ila wakakuona kua wewe ni kilaza wakakutema,akili yako ikakuaminisha kua umetemwa coz ya udini,

Kwa uandishi huu,hata mimi nisingekupa hata kazi ya kukatia majani Ng'ombe wangu.
 
Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.

Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI
ITV, Radio One, East Africa Radio na Capital FM zingeimarika zaidi kama zingeachana na Ukabila.

TBC1 na TBC Taifa zingeimarika zaidi kama tu zingeachana na U CCM na U UVCCM bila kusahau Kurogana.

Kuwataja tu Azam Media na huo Udini Wao na kuacha Kutaja madhaifu ya hizi Media zingine nilizozitaja hapa ni UNAFIKI usiovumilika.
 
Irrational mind
 
Back
Top Bottom