Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kipi chenye kukuonyesha nimekasirika ??Mkuu mbona una makasiriko kana kwamba hiyo dini ni mali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi chenye kukuonyesha nimekasirika ??Mkuu mbona una makasiriko kana kwamba hiyo dini ni mali yako.
5%. Na kungekuwa na Muislam mwenye Profile sawa na Tido ni dhahiri ngechukuliwa yeye.Tido Mhando ni muisilam?
Tabu la rasaNi fursa kwako kufungua kampuni ambayo haina udini.
Acha kurekebisha mambo ya wengine wakati wewe umefeli kabisa.
Mkuu fungua media yako utuajili sisi wakristo wenzakoUkichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.
Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI
Bora umemuulizaTido Mhando ni muisilam?
Acha chuki dogo, Tanzania kuna free trade na economic liberalization, ina maana unachagua huduma kadiri inavyokupendeza hulazimishwi wala hakuna monopolisation.Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.
Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI
ITV, Radio One, East Africa Radio na Capital FM zingeimarika zaidi kama zingeachana na Ukabila.Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.
Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI
Siendekezi udini, ukabila wala ukandaMkuu fungua media yako utajiri sisi wakristo wenzako
Irrational mindITV, Radio One, East Africa Radio na Capital FM zingeimarika zaidi kama zingeachana na Ukabila.
TBC1 na TBC Taifa zingeimarika zaidi kama tu zingeachana na U CCM na U UVCCM bila kusahau Kurogana.
Kuwataja tu Azam Media na huo Udini Wao na kuacha Kutaja madhaifu ya hizi Media zingine nilizozitaja hapa ni UNAFIKI usiovumilika.
Go to Hell.Irrational mind
5%Charles Hilary hakuwa muislam.
Ila unaendekeza Unafiki.Siendekezi udini, ukabila wala ukanda