edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Unajua sheria za kazi ya TanzaniaKuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?
Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua sheria za kazi ya TanzaniaKuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?
Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Yani wewe ndio hujaelema mada na umekurupuka kujibu. World Vision inatoa huduma kwa umma kama kituo cha Television ?!
Kaka hiyo ni kampuni binafsi. Huwezi ipangia. Na wewe watu wa dini yako wafungue kampuni upate kazi.Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.
Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.
My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Nisaidie Bakhresa ni dhehebu gani la uislam?Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?
Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Wapo wengi tu,Umechunguza Tumaini (Ttv) ina Waisalam wangapi? Tuache uchochezi, hiyo ni haki yake kuinua Waislam wenzake!
Answari Suni au ShihaNisaidie Bakhresa ni dhehebu gani la uislam?
Mkuu umehama kisa marudio ya faulo?Azam wanamatatizo ya kuegemea dini ya kiislam na kwenye mpira faulo za azam awazi replay. Niliachana nao nikahamia DSTv
kiwandani?Ukitaka jua kuna udini nenda kaombe kazi pale Buguruni
But then the point had an irrelevant and invalid example kufananisha huduma za World Vision na Azam TV umekosea japo poin yako iko sawia. Maudhui na hadhira za World Vision na Television station ni vitu viwili tofauti, moja asasi ya dini na nyingine ni kampuni ya kutoa huduma kwa umma.My point is protocol za watu ziheshimiwe.
Mchungaji Kimaro amesema wazi kazi zake anafanya na vijana wa kiiislamu ,nyie wavaa rozari wenzake huwa munampiga na kitu kizito
YA MTUMEHivi wale Dawresh (ISIS), Bhoko Haram, Al-Shaabab, Al-Quaida, ni wa dini Gani?
Apo sasa alijuaje kama hawana sifa wewe ndio unaleta udini kwamba ukikosa tu umebaguliwa kwamba waislamu hawapaswi kufanya kazi na hawana sifa? auUlikuwa applicant na ghafla ukawa interviewer na ukabaini hawana sifa
Sasa kila mwajiri si ana sifa zake anazitaka unampangia vipi tena kwenye sekta binafsiHuwezi Kuta mwalm mkristo kwenye shule zao
Hii sio kwel hata uislamu haufundishi hivi unazungumzia kwa hisia hutumii akili naona kwa sasa muislamu akipata cheo au nafasi yoyote ile basi ni udini as if ivyo vyeo na fursa zipo kwa ajili ya wakristo tu lakin huwez kumsikia muislamu akilalama kwenye izo fursa akipewa mkristo ndio apo utakuja kujua wakristo ndio wadini na ubinasfi Mimi ni muislamu lakin nimepata kuwa na marafiki wengi wa kikikristo na sijaona shida na tunasaidiana kwa mambo mbalimbali bila kujali tofauti zetu za Imani zaidi zaidi wanavutiwa na Mimi wakiniona ni mtu mwema na mkarimu Sana na huo ndio uislamuUkiwachukua wakristo 10 na muislam 1 ukawaambia waende kuishi pamoja, huwezi kukuta wakristo wanambagua kwasabb ya dini ila ukiwachukua waislam 10 na mkristo 1 ukawaambia wakaishi pamoja. Watambagua kwasababu ya dini.