Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Siyo kwa hisia. Huo ndiyo ukweli 100%
Muislam ndugu yake ni muislamu mwenzake.
Mfano hai.
Mkiwa watu 10, watano ni waislamu na watano ni dini nyingine. Mkienda kwa muislam kuomba msaada au kupata huduma fulani basi watakaoanza kupewa msaada ni waislam, nyie wa dini nyingine mnaweza msipewe msaada au huduma kabisa. Kama mtapewa hailingani 100% na ile waliyopewa waislamu.
 
Fact100%
 
Apo sasa alijuaje kama hawana sifa wewe ndio unaleta udini kwamba ukikosa tu umebaguliwa kwamba waislamu hawapaswi kufanya kazi na hawana sifa? au
Nimemshangaa mleta mada, lengo na mtazamo wake ilikuwa kuwapata watu wa imani yake wengi zaidi kuliko wasiokuwa wa imani yake

Isitoshe pale Azam hawaendi kuhubiri dini ingekuwa ni masuala ya dini wangeambiwa waombaji wawe wachungaji na masheikh
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Usichoelewa ni kwamba uislamu unahamasisha zaidi chuki,uhasama na visasi kwahyo kwao kutokea kitu kama hicho ni kawaida sana.

Kama ni kampuni ya waislamu inayojali zaidi utu kuliko udini huwezi kuta vitu kama hvyo. Na hakuna kampuni kama hyo.

Nafikir umenielewa.
 
Sina uhakika ila Kama Ni kweli [emoji116]

Inawezekana hata BHARESA mwenyewe halijui hili sema hapa katikati Kuna wapambe wanaoangalia izo cv zenu ndio wanafanya maamuz hayo Amin ivo sure
Wapambe nuksi kuliko mwenye Mali.
 
Vipi IPP nayo hivi nyie mna akili timamu kweli i

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahhahaha mpaka chumvi mnajaza ili muonekane mmejenga Hoja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa nwalimu mkristo aweza kuandika bismillah jamani au ndio mnaongea ili muonekane nawewe upo kwenye jukwaa??


Maana sie kila kitu iwe mathematics au programming language lazima tuanze kuandika neno bismillah na twaliandika inavyostahiki sio kama nilivyoliandika hapa...je huyo mwalimu mkristo ataweza au lawama kwa sababu una bando?
 
Hapana kaka nakupa mfano chuo kikuu cha waislam MUM wapo wakristo pale wahadhiri


Alafu sio lazima kila somo kuanza kuandika bismillah kama mwalimu ataamua kutamka tu

Nahisi unachanganya kati ya Markaz na Shule za kawaida ambazo zinamilikiwa na waislam.

Kama nilivyo kutajia hapo juu


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Swadakta
 
Hawa jamaa most of wafanyakazi wao ni wale wenye majina ya suruali fupi.

Most of guys wenye majina tofauti na hayo ni labda wenye special skills au reputation nzito ndio wako pale.

Angalia viwandani mwao wafanyakazi wa kike wengi na vitambaa kichwani.

Angalia tamthilia zao nyingi ni zile za ku-glorify itikadi yao.

Siku moja basi walete na tamthilia ya historia ya Yeshua kama walivyofanya kutuletea ya mtume. Too bad it cant happen.

Bias and unproffesional, sishangai kwa entity ya itikadi ile.
 

Mwambie Kardinal Pengo asile sadaka zenu tu , awafungulie Azam yenu muajiriane wakristo.
Wacha kuleta akili ya govi la kikafiri iliyojaa kichwani mwako
 
Na wee fungua TV,biashara yako waajiri watu wenye imani yako

Ova
 
Uhuru wa vyombo vya habari...... badili king'amuzi Boss
 
Wakristo mmekuwa na ubinafsi Sana wa kutaka kujiangalia nyinyi wenyewe mkijaza nafasi za kazi kuanzi serikalini.

ITV na eatv wanapiga kwaya kila kuanzia saa kumi na moja asubuhi kuna muislam amewahi kulalamika?

Majina ya watangazaji wa ITV na Eatv yametawala majina ya kikristo nani muislam amewahi kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…