Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Mimi nadhani waachwe tu as long as hakuna aliyewakopesha wala kuwapa mtaji acha wafanye wanachokitaka ukiweza wahame.

Nina binamu yangu mwaka 2019 aliajiriwa pale Buguruni kwenye kiwanda chao wale wapemba walimbagua vibaya jamaa aliondoka hata miezi sita hakumaliza,alikuwa akiingia chooni hawaingii wao mpaka wamuite mfanya usafi aje asafishe na wanamuita kabisa akiwa anaona,Waafrika kubaguana kwa vitu vya kijinga kwa sababu ya hizi dini kunaivuruga sana jamii.

Ukweli ni huo.
 
Pumbavu zako, kwani Azam ni ya Serikali, kampuni lake mwenyewe unataka umpangie wewe cha kufanya. Angalia Emanuel tv.
 
Tatizo liko wapi,mbona itv na eatv Kila siku asubuhi wanapiga kwaya na watu hawalalamik?
Hawa jamaa zetu ni wakora, wasengeraa na wanyamkora, mandalu, wanapenda Undava Undava na ukachaa. Kila kitu ni kelele tu... Jumapili Kuna steshen ambayo haipigi kwaya?. Lakini ijumaa hazipigi kasida na sisi hatusemi
 
Hata mimi bro house girl wangu sharti la kwanza awe muislam, pia nikifanya shopping choice ya kwanza maduka ya waislamu nikikosa nanunua kwa mwanamke nikikosa ndio nanunua kwengine. Ni chaguzi tu
 
Hiyo ni ya Mzanzibari na wazanzibari karibu wote ni wabaguzi, angalia yanayoendelea awamu hii ya sita, uvaajinwa maushungi umeongezeka kwa kasi maofisini na kila mwanamke mteule wa rais anajitahidi kuvaa kama rais ili aonekane ni mwenzake na afikiriwe zaidi. Teuzi na nafasi nyingi za ajira wanapewa wazanzibari na waumin
 
Too sad
 
Najua serikalini na bungeni wakristo ni wengi kuliko waislamu basi upelekwe muswada bungeni na ipitishwe sheria ya kuwataka wawekezaji waajiri 75% wakristo na hiyo iliyobaki ndiyo waajiriwe wengine.
Nafikiri huo ubaguzi mnaolalamika dhidi ya Bakhressa utakuwa umepata ufumbuzi.
 
V
 
Brother lazima ujue matumizi sahihi ya choo hususan haja ndogo sio unaenda unaposti tu umesimama mlangoni taratibu lazima zifuatwe ili kukwepa najisi.
 
Maa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…