Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Acha kujificha kwenye shamba la karanga wakati unaoonekana. Usihusishe elimu yangu na hoja inayojadiliwa. Unabisha nini wakati azam typically ni mdini? Eti chaneli nyingi ziliondolewa kwa sababu za kibiashara, kwani hizo chaneli za dini zilizoondolewa zinafanya biashara gani? Usifanye watu ni wajinga na hawajui vitu katika mukhtadha wake
 
Taja moja kwa idadi yake uache uzwazwa wako kutetea hoja yako ya kipumbavu. Media kubwa ipi inayomilikiwa na Mkristo imejaza Waislamu kwa idadi yao. Usichokijua kwenye taasisi ya kikatoriki hata Mkristo wa dhehebu lingine hapenyi, tena sio tu useme Mimi ni mkatoriki, uwe mwana hizo jumuia kwa ushahidi.
Uliza hata seminary pure ya kikatoriki kama wanapokea wasabato achilia mbali Waislamu.
kwa hiyo unahalalisha udini wa azam kwa kutolea mifano kwa wakatoliki? Kwa taarifa yako hata hao wakatoliki wamechambuliwa sana tu kwa udini wao sawa na azam wako unayemtetea kipuuzi. Nchi ubaguzi wa kidini haukubaliki na utakemewa kwa nguvu zote kwa kenge yeyote atakayeedekeza tabia hiyo
 
Mbona unakimbia swali la msingi unarukia vitu vingine? Tupe jibu la Media kubwa zinazomilikiwa na Wakirsto ila zimeajiri Waislamu wengi ili uweze kupata nguvu ya kuhoji udini wa Azam kinyume chake acha unafiki utakufa kwa roho mbaya.
 
unataka nikutajie nini usichokijua kuhusu media za tanzania? Usijitoe ufahamu na kutaka kufahamishwa kila kitu wakati una akili za kuchakata ukweli wa mambo we mwenyewe. Ina maana huoni hiyo media kubwa?
 
Ulipata muda wa kipumbavu kuchakata yaliyomo Azam Media basi unafikiri Watanzania wote wana muda wa kijinga juangalia dini na madhehebu ya wafanyakazi wa taasisi au kampuni za watu. Wewe unatakiwa uonyeshe hiyo gape kwakuwa ndiye ulileta taarifa za huo upendeleo, Kinyume chake acha utoto kajifunze kuheshimu kazi za watu na muhimu jitengenezee uwezo binafsi siku ukitaka kazi hata kwa Mufti utapewa kwakuwa una uwezo.
Wenzako wenye akili timamu wamesoma gape,vwamejiwekea ubora ambao hakuna muajiri atapata muda wa kuchunguza dini yake zaidi atapendezwa na uwezo wake ambao ni chachu ya ukuaji wa taasisi yake.
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Mkuu vp pale itv kunawaislm asilimia ngapi?
 
Ulipata muda wa kipumbavu kuchakata yaliyomo Azam Media basi unafikiri Watanzania wote wana muda wa kijinga juangalia dini na madhehebu ya wafanyakazi wa taasisi au kampuni za watu. Wewe unatakiwa uonyeshe hiyo gape kwakuwa ndiye ulileta taarifa za huo upendeleo, Kinyume chake acha utoto kajifunze kuheshimu kazi za watu na muhimu jitengenezee uwezo binafsi siku ukitaka kazi hata kwa Mufti utapewa kwakuwa una uwezo.
Wenzako wenye akili timamu wamesoma gape,vwamejiwekea ubora ambao hakuna muajiri atapata muda wa kuchunguza dini yake zaidi atapendezwa na uwezo wake ambao ni chachu ya ukuaji wa taasisi yake.
acha kupita katikati ya mistari yangu mulemula kwa kuniteka nyara baada ya kuona nakunyuka kihoja nawe unakuja na hoja ya uweledi wa wafanyakazi bila kujali imani ya dini. Ingekuwa hivyo kwa azam usingesoma uzi kuhusu unachokitetea. Kipaumbele cha azam kuajiri ni imani yake kwanza, hilo hajaweza kulificha
 
Ama kweli kama ulienda shule basi ni lile kundi mlienda kusomea Ujinga, Hivi unajua maana hoja kweli? Bila aibu eti umeninyuka kwa hoja, what a joke [emoji1787] Ukisoma ulichoandika kweli kinaweza hata kufanywa na First year aliye serious? Kwa kukusaidia tu, haya unayoongea sio hoja ni fikra za kijinga, hoja hutolewa kwa ushahidi na kama huna ushahidi unaweka wazi kabisa kuwa hayo ni maoni yako binafsi ambayo kiuhalisia hayana hoja zaidi ya ujinga na ndio maana sio kila maoni ya mtu binafsi yanaheshimiwa.
Mtu mwenye kichwa, achilia fuvu ambalo kila mtu analo, hayo uliyosema kuwa kipaumbele cha Azam hawezi kuyasema bila kuweka ushahidi, only idiots.
 
naona unarukaruka kama maharage yanayochemka. We mwenyewe unaonekana ni mdini kiasi cha kutoweza kuficha udini wako. Unanyukwa kihoja halafu unajifanya huoni kifinyo. Tafuta wa kubishana mi hutaweza kunibandua kwenye hoja hata uje na debe la matusi
 
Taja moja kwa idadi yake uache uzwazwa wako kutetea hoja yako ya kipumbavu. Media kubwa ipi inayomilikiwa na Mkristo imejaza Waislamu kwa idadi yao. Usichokijua kwenye taasisi ya kikatoriki hata Mkristo wa dhehebu lingine hapenyi, tena sio tu useme Mimi ni mkatoriki, uwe mwana hizo jumuia kwa ushahidi.
Uliza hata seminary pure ya kikatoriki kama wanapokea wasabato achilia mbali Waislamu.
Kwa hiyo mifano ya Katoliki unayoitoa hapo unataka kumaanisha kuwa Azam Media nayo ni taasisi kumbe ya......
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Kwa hoja hiyo na sisi walaji tuanze kuibagua kwa minajiri ya dini pia?. Walane wao kwa wao basi
 
naona unarukaruka kama maharage yanayochemka. We mwenyewe unaonekana ni mdini kiasi cha kutoweza kuficha udini wako. Unanyukwa kihoja halafu unajifanya huoni kifinyo. Tafuta wa kubishana mi hutaweza kunibandua kwenye hoja hata uje na debe la matusi
Hoja unaipata wapi? Ungesema siwezi kukubandua kwenye ujinga sawa, Mwerevu akichangua ujinga ni ngumu kumuelimisha hata ufanyeje, Sasa wewe ndio wale werevu waliochagua ujinga, Na sipo hapa kukubadilisha kwa maneno kwa kuwa najua umechagua hiyo njia.
 
Ulipata muda wa kipumbavu kuchakata yaliyomo Azam Media basi unafikiri Watanzania wote wana muda wa kijinga juangalia dini na madhehebu ya wafanyakazi wa taasisi au kampuni za watu. Wewe unatakiwa uonyeshe hiyo gape kwakuwa ndiye ulileta taarifa za huo upendeleo, Kinyume chake acha utoto kajifunze kuheshimu kazi za watu na muhimu jitengenezee uwezo binafsi siku ukitaka kazi hata kwa Mufti utapewa kwakuwa una uwezo.
Wenzako wenye akili timamu wamesoma gape,vwamejiwekea ubora ambao hakuna muajiri atapata muda wa kuchunguza dini yake zaidi atapendezwa na uwezo wake ambao ni chachu ya ukuaji wa taasisi yake.
Kwa jinsi ulivyo na Makasiriko utakuwa ni mmoja ya washauri wakuu wa hii mambo hapo Azam
 
Karibu bongo blo,kampuni ikiwa ya mchaga,asilimia 90 ya wafanyakazi itakuwa wachaga,
Ukikuta ni Mhaya,wembe ni ule ule,
Kuna kampuni moja ya network,inaitwa power and network,PN,wahandisi wake wengi ni wapare na Islam,
Charity begins at home,lazima uibebe jamii yako kwanza kabla haujasaidia wengine.
Kwa hiyo maana yako ni kwamba kwa sasa nchi ni ya mama muislam. Kwa hiyo anafanya/atafanya/afanye vivyo hivyo?
 
Kwa hiyo mifano ya Katoliki unayoitoa hapo unataka kumaanisha kuwa Azam Media nayo ni taasisi kumbe ya......
Kwenye hilo jibu hapo limetokana na maswali mawili ya aliyekaririwa hapo, Sasa kwa kukosa maarifa ukaenda kwenye nyongeza ukasahau swali la msingi au jibu la msingi ambalo limejibiwa hapo kama swali, Sasa tutajie Media kubwa inayomilikiwa na Mkristo imejaza Waislamu wengi ili tuhalalishe udini wa Azam.
Mwisho jifunze kusoma kwenye hoja hata kama huna akili.
 
Kwa jinsi ulivyo na Makasiriko utakuwa ni mmoja ya washauri wakuu wa hii mambo hapo Azam
Sio hao Azam tu, pia ni Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Agape Media na kila Ajira inayotoka nitaitwa kwenye kusimamia usaili. Hat kesho nitakuwa pale IPP kuna watu wanakuja kufanya usaili.
 
Back
Top Bottom