Ukichunguza Makampuni mengi ya Azam ikiwa ni pamoja na Azam Media/TV asilimia zaidi ya 95 ni wa Imani/dini moja, na hiyo 5% iliyobaki kana kwamba wamepatikana basi tu hakuna namna vinginevyo wasingekuwepo. Ninatambua kwa mujibu wa Imani ya Kiislam ni kwamba ndugu yako ni Muislam mwenzako ndio maana hata yanapoletwa majina mfano wa watano kugombea nafasi moja na wote wana sifa sawa, iwapo wanne ni wa imani zingine hapo ikitokea anayechagua ni muislam basi atahakikisha anamchukuwa muislam mwenzake.
Natamani sana atokee tajiri/muwekezaji atakayeanzisha chombo cha habari kikubwa kama cha Azam lakini asiendekeze UDINI AU UKABILA wala ukanda kama ilivyo Azam maana hata management nzima na key positions ni KUTOKA VISIWANI