Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

ITV/Radio 1 hakuna ujinga huo labda iwe Sasa. Mengi aliamini katika uwezo wa mtu sio dini yake. Tumaini na Wapo Radio hivyo ni vyombo mahuksusi Kwa ajili ya kueneza dini sawa na vituo vingine vya kiislamu.
ITV/radio 1 gani unayozungumzia wewe,lete takwimu tuone..alipigiwa kelele mdini,akaanza kuweka waislam kusoma taarifa za habari
 
Kwa waislamu wakristo sio binadamu. Hili niliwahi kuliona kabisa kwa macho yangu, hoja yao ilikuwa eti muislamu ndugu yake ni muislamu
 
Mhhh! Shutuma nzito sana hizi. Binafsi naamini mtu anaajiriwa kwa sifa za kitaaluma. Na siyo dini yake.
 
naomba kuongezea pia ni washari, waswahili na wagomvi sana. Miaka ya 2010 kuna Quran ilichana Canada ila waislamu wa hapa Bongo wakachoma makanisa eti "wanaitetea imani"
Punguani sana hawa, Iman ni Ugonjwa wa akili kwao.
 
Maadili ni yapi mazuri kuvaaa nusu uchi? Mbona wale masister wanavaa vizuri ?

Nyie kondooo ndo hamuelewi je mnamfuata Nan?
Unachanganya kati ya dini na ukristo.
Ukristo ni kutenda mema na kufuata amri kuu za Mungu. Wapi kwenye Biblia wanaruhusu watu wavae nusu uchi? Nionyeshe
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu ndiyo maana unaona kuna madhehebu mengi sana. Unafikiri wanaovaa uchi wanafuata matendo ya Mungu au ya mwanadamu?
 
Kwa waislamu wakristo sio binadamu. Hili niliwahi kuliona kabisa kwa macho yangu, hoja yao ilikuwa eti muislamu ndugu yake ni muislamu
Mimi ni Mkatoliki. Lakini marafiki zangu wengi ni Waislam. Tena wengine tumefikia hatua ya kuwa kama ndugu. Hao waislam wenye msimamo huu watakuwa wana matatizo bila shaka.
 
Kuna ubaya muislam aliwekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Sasa hiyo sio foundation ya kiislamu hususani pale unapoweka tangazo la ajira kwa kuhitaji watu wenye vigezo vinavyoendana na taaluma husika

Mbona wasio waislamu hawatumi maombi kwenye nafasi za kazi za BAKWATA

Kwenye tangazo la kazi angeweka sifa ya uislamu sidhani kama watu wasio waislamu wangejisumbua kuomba kazi.
 
Ungetupa na takwimu kutoka taasisi na makampuni mengine yanayomilikiwa na Wakristo wenzako ili tupate uhalisia. Anza na IPP, ITV, makanisani, shule zinazomilikwa na Wakristo nk kisha uje hapa. Acha chuki dhidi ya Waislam na kama hawajakuajiri nenda kajiajiri mwenyewe. Aliyekwambia lazima wakuajiri ni nani?
 
Mkuu nimeuliza tu wala tangazo sijaliona.
 
Unajifunga moja kwa moja wapi uislamu unaruhusu ubaguzi .

Mbona pale KCMC Tuliacha kulea shobo japo serikali inayoa ruzuku
 
Ukiwachukua wakristo 10 na muislam 1 ukawaambia waende kuishi pamoja, huwezi kukuta wakristo wanambagua kwasabb ya dini ila ukiwachukua waislam 10 na mkristo 1 ukawaambia wakaishi pamoja. Watambagua kwasababu ya dini.
Wanaweza wasikubague kitu kibaya kuliko ubaguzi ni kutoheshimu taratibu na dini ya watu wengine kea hili wakiristo wanaongoza mfano ambayo mimi imenitokea na kusishuhudia.

1.Nilivaa remba na Kanzu nikafika ofisi Moja secretary mkiristo mwanamke alinikashifu kisa kiremba na kutaka eti nivue kisa yeye haoni mantiki yake.

2.Nilivaa Kanzu na ndevu zangu nikaingia ofisi moja posta jamaa mkiristo akaniita Alshaabab na kushangaa jambo .

3.Wakati nipo advance kuna mtu mkiristo aliniomba nimuelekeze kitu fulani ,nikasema ngoja niingie chumba cha ibada niswali chap sababu mida tayari kisha tusome vizuri yeye akasema kwa kuchukia "yaan wewe muda wote unaswali tu mpk unakera kwani lazima uende ?

4.Swala la hijabu :wanaongoza kutoa negative comments kuna uzi humu ulianzishwa wao kukejeli kuwa "waislamu watoe sababu za ulazima wa kuvaa hijabu .Tukio la pili wanawake baadhi Irani walioandamana kuchoma hijabu wakiristo wakawa wanatoa negative comments kuhusu hijabu

5.Nk

Nb: Wakiristo wanaongoza kwa kudharau na kutoheshimu taratibu za kidini za watu wengine mimi bora unibague kuliko kudharau dini yake na vile ninavyofuata maamrisho na makatazo yake ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…