Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
fikra finyu na potofu....kama ungetaka si ungeenda kuomba kazi Radio Maria au Upendo TV?
 
Ukiwa na sifa unaajiriwa pale. Wewe itakuwa ulikosa sifa
 
Hebu rejea kauli ya mchungaji kimaro alisema wakristo wengi ni majizii sana na wenye taamaa na mafanikio ya haraka Mimi Kama mkristo namuunga mkono bakhresa kwa 100% wakristo tumezidi ujanja ujanja na uroho wa mali
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Hilo nimeliona mda mrefu saana, akumbuke huduma yake inapokelewa na watu wote tunaweza kubagua hizo bidhaa bia aone matunda ya ubaguzi wake bora matangazo yake ya kazi atangazie misikitini uko
 
Jiajiri.. hii ni kampuni binafsi... hata ingekuwa mimi unipangii sio taasisi ya serikali hii. Lakini kama unasema alienda mkristo mmoja me sijaona ubaguzi. Imagine ungeenda wewe leo ungeandika uzi huu au sema kweli.
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Yan ile mikakati ya watu wa mashariki na magharibi kugawana waafrika utatutesa saana yan undugu unapotea nashangaa siku hizi watu hawashirikian hata hata kwenye misiba akishiriki basi hajumuiki kupata chakula huu ni ujinga wa kiwango cha juu nchi hii ni yetu sisi tutaijenga sisi waarabu wananchi zao wazungu wananchi zao turudi kwenye misingi ya umoja.
 
Jiajiri.. hii ni kampuni binafsi... hata ingekuwa mimi unipangii sio taasisi ya serikali hii. Lakini kama unasema alienda mkristo mmoja me sijaona ubaguzi. Imagine ungeenda wewe leo ungeandika uzi huu au sema kweli.
Basi sawa hatumpangii nasisi asitupangie na vibidhaa vyake vilivyo jaa sumu awauzie hao ndugu zake
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Mchungaji Kimaro nae Mbaguzi …kasema mwenyewe shambani Kwake hataki kuajiri vijana wa Kikristo kwa kuwa ni wezi hatare
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Umechunguza Tumaini (Ttv) ina Waisalam wangapi? Tuache uchochezi, hiyo ni haki yake kuinua Waislam wenzake!
 
Mkuu protocal za watu achana nazo

Nenda World Vision Tanzania unitafutie Muslim staff kama utawapata
 
Embu weka hapa hiyo taarifa ya uchunguzi wako tuijadili hapa kwanza
 
Mkuu protocal za watu achana nazo

Nenda World Vision Tanzania unitafutie Muslim staff kama utawapata
Yani wewe ndio hujaelema mada na umekurupuka kujibu. World Vision inatoa huduma kwa umma kama kituo cha Television ?!
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Nenda Startimes au DStv hawana ubaguzi,
 
Waislamu mafundisho yao yamewakataza kushirikiana na watu wasio waislamu

Only stay with Muslims
Narrated AbuSa'id al-Khudri:

The Prophet (ﷺ) said: Associate only with a believer, and let only a God-fearing man eat your meals.

Sunan Abu Dawud 41:4814

Pia Quran 3 : 28 inasema
Do not take disbelievers as intimate friends or guardians / allies
 
Back
Top Bottom