Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kuna nchi zilizo kua na makoloni mengi zaidi ya hizo mnazoziabudu za wazungu vipi nazo zimetumwa na Alla wajinga hamuishi dunianiKufikia koloni la hivi unadhani ni watu wangap waliuwawa??
Ila Allah muuaji sana
Wewe endelea kukimbia askari wa ccm , sio kila mtu anakubali unyonge kisa majengoIfike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Hiyo imekuwa justification yao ya kipuuzi ili kuua raia wasokuwa na hatia na hezbollah vita zinapiganwa mpakani lakini wao kila siku ni kupiga residential building beirut hao jamaa hawana tofauti na wanazi ni wauaji shetani akasome then mnaita taifa la mungu hilo taifa la shetani nakuhakikishiaUnapohifadhi silaha kwenye makazi ya watu, nyumba za ibada nk automatically inageuka kuwa military target.
Hivyo walaumiwe Hezbollah na Hamas na sio Israel
Ndo uneandika nini, dunia hii haina huruma we endelea kusaport uovu ila ipo siku itakukuta wewe au watu wako na wengine pia watasaportWale wavaa kanzu watapigwa mpaka wachakae,yaani Hakuna kuwaonea huruma hata chembe
SawaNdo uneandika nini, dunia hii haina huruma we endelea kusaport uovu ila ipo siku itakukuta wewe au watu wako na wengine pia watasaport
Hakuna asiyeramba mchanga hata wewe hupendi kufa lakin hauko tayar kuwasidia wenzio kuwah mabikiraUnadhani usipo taka ndio utaishi milele kijana ni suala la muda kabla hujaramba mchanga
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.Umeshindwa kuleta ushahidi eeenh siku nyengine usiwe mropokaji uwe unafatilia mambo kwanza sasa kama jambo dogo kama hizbullah na hamas kutokua magaidi mbele ya jamii ya kimataifa huijui unawezaje kuongelea ishu kubwa kama Palestine kwa usahihi
Hata Bakhresa?Sijawai kuona muarabu mwenye akili sijui mi ndo nawatafsiri vibaya ?
Chunguza kabisa matukio mengi uwa wanafanya kwa mihemko
Hivi kumbe naye ni Mwarabu?Hata Bakhresa?
Kwani wewe unataka kuwasaidia wenzako kama unataka kawasaidie kukomboa magaidi wao wanaoshikiliwa na hamas na hizbullahHakuna asiyeramba mchanga hata wewe hupendi kufa lakin hauko tayar kuwasidia wenzio kuwah mabikira
Kwa mfano hata ukiwaonea huruma utaongezea au kuwapunguzia nini wewe mwenyewe unahitajika kuonewa hurumaWale wavaa kanzu watapigwa mpaka wachakae,yaani Hakuna kuwaonea huruma hata chembe
Ndiyo!Hivi kumbe naye ni Mwarabu?
Samahani ila naona bado unaendelea kudhihirisha ufinyu wako wa akili juu ya haya mambo nimekwambia leta ushahidi uliodai kwamba UN wanazi tambua hamas na hizbullah kua magaidi umeniletea mapicha picha gani hayaMkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇
e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
Kijana unapenda kujifunza majambo ila bado yanakua yamekuzidi kwahio ukitaka kujua vitu kwanza vifatilie UN ambayo ndio inawakilisha jumuiya ya kimataifa hawazitambui hamas na hizbullah kama makundi ya kigaidi bali marekani Uingereza Germany na baadhi ya mataifa ya ulaya ndio wanawatambua kama magaidi tena kwa maslahi ama ujinga wao hizo nchi sidhanii hata kama EU inawaona hamas na hizbullah kama magaidiMkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇
e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
Hizo zinaitwa "Good wishes" tofauti na "kulaani =a curse" japokuwa vyote haviongezi wala kupunguza hali iliyopo physically. Ila kumbuka yote hayo yana Impact kubwa sana ktk Jamii na pia ktk.Ulimwengu wa Kiroho.Kwa mfano hata ukiwaonea huruma utaongezea au kuwapunguzia nini wewe mwenyewe unahitajika kuonewa huruma
Isingekuwa Hezbollah anatumia mbinu za kuwatanguliza Raia kama kinga, nadhani tungeweza kuwa na mlinganisho ulio-balanced au Fair judgement.Lebanon ni nchi ya ovyo .mtu ana kushambulia direct upo tu hii ni vita ya nchi mbili sio ya Hezbollah na israel. ila israel ni mzuri kwa ndege underground ni vichapo tu