Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
Unapohifadhi silaha kwenye makazi ya watu, nyumba za ibada nk automatically inageuka kuwa military target.
Hivyo walaumiwe Hezbollah na Hamas na sio Israel
Hiyo imekuwa justification yao ya kipuuzi ili kuua raia wasokuwa na hatia na hezbollah vita zinapiganwa mpakani lakini wao kila siku ni kupiga residential building beirut hao jamaa hawana tofauti na wanazi ni wauaji shetani akasome then mnaita taifa la mungu hilo taifa la shetani nakuhakikishia
Lebanon haiwataki hao magaidi ila haikuwa na namna ya kuwakataa, waliingia kama wakimbizi huko kusini, mara wakaanza kujiingiza kwenye siasa na wakawa na wanamgambo wao. Huko mbeleni wangejaisumbua lebanon na kuifanya taifa lao kibabe. Lebanon haina uwezo wa kuwafukuza magaidi hao
Umeshindwa kuleta ushahidi eeenh siku nyengine usiwe mropokaji uwe unafatilia mambo kwanza sasa kama jambo dogo kama hizbullah na hamas kutokua magaidi mbele ya jamii ya kimataifa huijui unawezaje kuongelea ishu kubwa kama Palestine kwa usahihi
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇 e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.

Samahani ila naona bado unaendelea kudhihirisha ufinyu wako wa akili juu ya haya mambo nimekwambia leta ushahidi uliodai kwamba UN wanazi tambua hamas na hizbullah kua magaidi umeniletea mapicha picha gani haya
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇 e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
Kijana unapenda kujifunza majambo ila bado yanakua yamekuzidi kwahio ukitaka kujua vitu kwanza vifatilie UN ambayo ndio inawakilisha jumuiya ya kimataifa hawazitambui hamas na hizbullah kama makundi ya kigaidi bali marekani Uingereza Germany na baadhi ya mataifa ya ulaya ndio wanawatambua kama magaidi tena kwa maslahi ama ujinga wao hizo nchi sidhanii hata kama EU inawaona hamas na hizbullah kama magaidi
Hizo zinaitwa "Good wishes" tofauti na "kulaani =a curse" japokuwa vyote haviongezi wala kupunguza hali iliyopo physically. Ila kumbuka yote hayo yana Impact kubwa sana ktk Jamii na pia ktk.Ulimwengu wa Kiroho.
Lebanon ni nchi ya ovyo .mtu ana kushambulia direct upo tu hii ni vita ya nchi mbili sio ya Hezbollah na israel. ila israel ni mzuri kwa ndege underground ni vichapo tu
Lebanon ni nchi ya ovyo .mtu ana kushambulia direct upo tu hii ni vita ya nchi mbili sio ya Hezbollah na israel. ila israel ni mzuri kwa ndege underground ni vichapo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.