Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Wewe endelea kukimbia askari wa ccm , sio kila mtu anakubali unyonge kisa majengo
 
Unapohifadhi silaha kwenye makazi ya watu, nyumba za ibada nk automatically inageuka kuwa military target.
Hivyo walaumiwe Hezbollah na Hamas na sio Israel
Hiyo imekuwa justification yao ya kipuuzi ili kuua raia wasokuwa na hatia na hezbollah vita zinapiganwa mpakani lakini wao kila siku ni kupiga residential building beirut hao jamaa hawana tofauti na wanazi ni wauaji shetani akasome then mnaita taifa la mungu hilo taifa la shetani nakuhakikishia
 
Wale wavaa kanzu watapigwa mpaka wachakae,yaani Hakuna kuwaonea huruma hata chembe
 
Wale wavaa kanzu watapigwa mpaka wachakae,yaani Hakuna kuwaonea huruma hata chembe
Ndo uneandika nini, dunia hii haina huruma we endelea kusaport uovu ila ipo siku itakukuta wewe au watu wako na wengine pia watasaport
 
Lebanon haiwataki hao magaidi ila haikuwa na namna ya kuwakataa, waliingia kama wakimbizi huko kusini, mara wakaanza kujiingiza kwenye siasa na wakawa na wanamgambo wao. Huko mbeleni wangejaisumbua lebanon na kuifanya taifa lao kibabe. Lebanon haina uwezo wa kuwafukuza magaidi hao
 
Unadhani usipo taka ndio utaishi milele kijana ni suala la muda kabla hujaramba mchanga
Hakuna asiyeramba mchanga hata wewe hupendi kufa lakin hauko tayar kuwasidia wenzio kuwah mabikira
 
Umeshindwa kuleta ushahidi eeenh siku nyengine usiwe mropokaji uwe unafatilia mambo kwanza sasa kama jambo dogo kama hizbullah na hamas kutokua magaidi mbele ya jamii ya kimataifa huijui unawezaje kuongelea ishu kubwa kama Palestine kwa usahihi
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇
e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
 
Hakuna asiyeramba mchanga hata wewe hupendi kufa lakin hauko tayar kuwasidia wenzio kuwah mabikira
Kwani wewe unataka kuwasaidia wenzako kama unataka kawasaidie kukomboa magaidi wao wanaoshikiliwa na hamas na hizbullah
 
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇
e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
Samahani ila naona bado unaendelea kudhihirisha ufinyu wako wa akili juu ya haya mambo nimekwambia leta ushahidi uliodai kwamba UN wanazi tambua hamas na hizbullah kua magaidi umeniletea mapicha picha gani haya
 
Mkuu; Sikushindwa kuleta ushahidi bali nilijizuia ili wewe uonekane unajua na unafahamu zaidi.
e.g. Unasema ".....jambo dogo kama Hezbollah na HAMAS kutokuwa magaidi mbele ya Jamii ya kimataifa......" Hebu soma hii hapa👇👇
e.g. 5. Hezbollah
Hezbollah lenye maana ya Chama cha Mungu ni kikundi cha kijeshi kinachoisha makali yake lakini bado kina nguvu.Ni kikundi kilichoanzishwa na viongozi wa ngazi za juu wa kiislamu na kikaja kuwa kikundi kinachopingana na Israel kuikalia Lebanon miaka ya 1982.
Kijana unapenda kujifunza majambo ila bado yanakua yamekuzidi kwahio ukitaka kujua vitu kwanza vifatilie UN ambayo ndio inawakilisha jumuiya ya kimataifa hawazitambui hamas na hizbullah kama makundi ya kigaidi bali marekani Uingereza Germany na baadhi ya mataifa ya ulaya ndio wanawatambua kama magaidi tena kwa maslahi ama ujinga wao hizo nchi sidhanii hata kama EU inawaona hamas na hizbullah kama magaidi
 
Kwa mfano hata ukiwaonea huruma utaongezea au kuwapunguzia nini wewe mwenyewe unahitajika kuonewa huruma
Hizo zinaitwa "Good wishes" tofauti na "kulaani =a curse" japokuwa vyote haviongezi wala kupunguza hali iliyopo physically. Ila kumbuka yote hayo yana Impact kubwa sana ktk Jamii na pia ktk.Ulimwengu wa Kiroho.
 
Lebanon ni nchi ya ovyo .mtu ana kushambulia direct upo tu hii ni vita ya nchi mbili sio ya Hezbollah na israel. ila israel ni mzuri kwa ndege underground ni vichapo tu
 
Lebanon ni nchi ya ovyo .mtu ana kushambulia direct upo tu hii ni vita ya nchi mbili sio ya Hezbollah na israel. ila israel ni mzuri kwa ndege underground ni vichapo tu
Isingekuwa Hezbollah anatumia mbinu za kuwatanguliza Raia kama kinga, nadhani tungeweza kuwa na mlinganisho ulio-balanced au Fair judgement.
 
Wale mnaowashambulia Lebanon na Hizbollah toeni ushauri mnataka wafanye nini?? Ardhi yao inachukuliwa wao waende wapi??
 
Back
Top Bottom