mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Tokea lini Rais wa Marekani akakutana na Mapaka yasiyojitambua?
Kuhamasisha ufisadi๐๐๐๐
View attachment 2186906
Kuhamasisha vitu vipande bei๐๐๐๐
View attachment 2186907
Upumbavu huu wa kujadili jinsia na ukabila unaliangamiza Taifa.Hapo ukute wamarekani wametafakariii, wakaona ili kumwingiza kwenye laini zao ni vema akutane na mwanamke mwenzie!
Wenzetu hawafanyi kitu bora liende, nyuma yake kunatafakari kubwa kwa ajili ya taifa lao
Si sababu ya lugha!! Ni sababu ya uzalendo!! Kama ni lugha si angeenda na mkalimani!! Hivi thesis yake ya PhD aliandika kwa kisukuma au? Alii-defend kwa kisukuma au?Dikteta maguofuli hakuwai kusafiri sababu ya lugha ilikuwa haipandi
Hata hivyo wamemheshimu sana ilitakiwa akutane na waziri tuDuru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hapo sasa,Taifa hili limejaa wajinga wengi muda wote wa utawala wa Magufuri aliyekuwa anawakilisha Taifa alikuwa Makamu wa Rais au Waziri wa Mambo ya nje ya nchi.Mbona Maguful alikuwa anamtuma Makamu wake kwenda kwenye vikao vya Wakuu wa Nchi?.
Labla waziri wa kilimo wa USA ila ingependeza akutane na balozi wa nchi yake wa huko USA.Hata hivyo wamemheshimu sana ilitakiwa akutane na waziri tu
Unataka kusema akatae?Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani.
Maoni yangu;
Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake?
Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house?
Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka za USA [emoji631]?!
Hehee na biden alivyozeeka vile, kama kumsukuma mlevi tuLabda anataka kumpa mbinu za kuachana na umakamu wa Rais na kuwa Rais kamili bila ya kusumbuka kupiga kampeni.
Hivi kati ya makamu wa raisi wa marekani na raisi wa Tz nani ni mkubwa ?
Amejitengenezea kamba ndefu inayomuwezesha kuzunguka nchi nzima๐๐๐๐Keshahalalisha Kila mbuzi kula kulingana na urefu wa kamba yake!! Hivi kamba ya chifu hangaya ni ndefu kiasi gani?? Wote tumeona ni ndefu Hadi Marekani!! Hapo wenye kamba fupi Kama walimu ndiyo basi tรฉna!
Indeed...na ni ushungi tu ndiyo shida zote hiziThe hate is real
... umenikumbusha mambo ya diplomasia; kidiplomasia King Mswati ana hadhi kubwa kuliko US president au rais/waziri mkuu yeyote wa nchi duniani humu. Anazidiwa na baadhi ya malkia/wafalme wenzie tu.Ki vyeo rais wa tz mikubwa..ila kwakua usa na tz ni mbingu na ardhi..hivyo hangaya ni kama mkuu wa mkoa tu akiwa usa.
#MaendeleoHayanaChama
Wow,detailedKamala Harris to Meet Tanzanian President as Hassan Courts Investors
Apr 13, 2022 โข Last Updated 14 hours ago โข 1 minute read
(Bloomberg) โ Tanzaniaโs president will meet with Vice President Kamala Harris Friday in Washington during a U.S. trip focused on business investments, according to Biden administration officials.
Samia Suluhu Hassan, the only female head of government in Africa, will talk with Harris at the White House about economic and commercial partnerships, global health issues, and other matters, the officials said.
Hassan, who was elevated from vice president when John Magufuli died in March of 2021, has signaled a new business-friendly era, pledging to reverse her predecessorโs policies that antagonized foreign investors.
Tanzania expects investments of about $40 billion in its liquefied natural gas project as the world rushes for new sources of the fuel to reduce reliance on Russian energy. Hassan has also expressed a desire to clinch deals to build ports, power plants, railroads, and coal and iron ore mines.
The Biden administration has been seeking to show itโs not ignoring Africa. Harris met with Ghanaโs president, Nana Akufo-Addo, and Zambiaโs president, Hakainde Hichilema, at the White House in September
Source : US VP Kamala Harris to meet with Tanzania President - EconoTimes
hhahahhahahahahhaahhahaAmeomba kupiga naye picha tu, hana cha kuongea na makamu wa rais wa US. Taarabu haziimbiki kwa kingereza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sanaLabda anataka kumpa mbinu za kuachana na umakamu wa Rais na kuwa Rais kamili bila ya kusumbuka kupiga kampeni.