Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

Si sababu ya lugha!! Ni sababu ya uzalendo!! Kama ni lugha si angeenda na mkalimani!! Hivi thesis yake ya PhD aliandika kwa kisukuma au? Alii-defend kwa kisukuma au?
Kuongea kunahitaji muda mfupi zaidi kuliko kuandika,thesis unalipa muda wa kutosha kupanga maneno,mwamba hakua smart upstairs kuweza kukaa na elites meza moja wakajadili Mambo,hakua hata na uwezo wa kuongea na hadhara
 
We ni jinga sana ni sawa sawa na kusema baba wa kimarekani ni bora zaidi kuliko baba yako. Kuna watu sijui akili mnaweka wapi?
 
Si sababu ya lugha!! Ni sababu ya uzalendo!! Kama ni lugha si angeenda na mkalimani!! Hivi thesis yake ya PhD aliandika kwa kisukuma au? Alii-defend kwa kisukuma au?
Eti uzalendo,

Yule mzee kawaharibu akili zenu mmekuwa matahila kabisa, yaani uzalendo kutokusafiri nje kupanga mipango na viongozi wenzio? na Hana uzalendo wowote alikuwa mpigaji tu na kampuni zake za mfukoni,

SOMA HII๐Ÿ‘‡

We ni jinga sana ni sawa sawa na kusema baba wa kimarekani ni bora zaidi kuliko baba yako. Kuna watu sijui akili mnaweka wapi?
Ona mungu wenu mwendazake kampuni yake ilivyopiga pesa
๐Ÿ‘‡

Kuongea kunahitaji muda mfupi zaidi kuliko kuandika,thesis unalipa muda wa kutosha kupanga maneno,mwamba hakua smart upstairs kuweza kukaa na elites meza moja wakajadili Mambo,hakua hata na uwezo wa kuongea na hadhara

Hivi unafahamu kuwa si Kila anayeenda Marekani huongea kiingereza? Kwa taarifa yako hata Marais wanaojua kiingereza huongea lugha za mataifa Yao kwa kutumia wakalimani. Mfano mzuri ni Putin, Marais wa mataifa ya kiarabu nk. Ni prestige ya taifa lao. Kwa hiyo lugha haikuwa kikwazo kwa Magufuli maana Kama angetaka, angeongea kiswahili ambayo kwa Sasa ni moja ya lugha rasmi ya kimataifa. Rais wa china pia hutongea kichina Japo anakijua kiingereza!
 
Usimfananishe Biden na watu wa ajabu, kwahy Biden yuko level moja na huyo mama yenu.?
Mama yenu anaadhimisha miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado anaongelea ukosefu wa maji wakati mwenzake anazungumzia kutia vikwazo kwenye nchi nyingine.
Sukuma gang Samia anawapeleka puta๐Ÿ˜‚,kennnge nyie
 
Haifanyi argument yangu hapo juu kuwa invalid..
 
Sasa hapo Magufuli anahusika wapi?? Ni kweli hapo kuna ufisadi lakini hakuna alipotajwa Magufuli!! Aliyetoa tenda hiyo awajibishwe!
 
Sasa hapo Magufuli anahusika wapi?? Ni kweli hapo kuna ufisadi lakini hakuna alipotajwa Magufuli!! Aliyetoa tenda hiyo awajibishwe!
huna ujualo wewe,ikitajwa hiyo kampuni iliyopewa kandarasi,unaweza ukatoroka hapo Chatttle kwenye lindo
 
Haifanyi argument yangu hapo juu kuwa invalid..
Argument yako ni invalid kwa sababu unafai kikwazo Cha lugha ndicho kilichomzuia Magufuli kwenda Nchi za nje hudusan Marekani. Mimi nimekuambia lugha siyo kikwazo maana hata Kama ni kweli hakuwa anajua kiingereza, hakulazimika kutumia kiingereza, bado angeweza kutumia kiswahili Kama angekuwa anahitaji kwenda Nchi za nje!
 
huna ujualo wewe,ikitajwa hiyo kampuni iliyopewa kandarasi,unaweza ukatoroka hapo Chatttle kwenye lindo

Itaje, kwani Kuna shida gani ukiitaja. Na uweke uthibitisho kuwa ni kampuni ya Magufuli au Magufuli alikuwa na ubia!
 
We ni jinga sana ni sawa sawa na kusema baba wa kimarekani ni bora zaidi kuliko baba yako. Kuna watu sijui akili mnaweka wapi?
Tunazungumzia madaraka na ukubwa wa nchi husika kwenye kujiendesha.
 
Nimesema sababu ni lugha na zaidi
 
Inakuaje kwamba ataanza Harris then afuate Biden?

Wivu na chuki zinakutesa mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ