Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

William.... Baba la Baba, Mzee wa kusugua... Yeah Brother... Umeua.... Yeah it's great keep it.... Dude kula bia 5 au creti nitalipia.... Shenzi
 
Nawaza Tuu huyu Will alishamtambulisha Linda kwa Wazazi then Akampotezea na kutaka kumuoa Jackie, mwisho wa siku unakuta wazazi wanagoma.. Kuna wakati wazazi nao ni chanzo kwa tukio kama hili.
Mimi kama kingekuwa wazazi wa Linda nisingekubali mwanangu aolewe na Willium, mwanaume aambae hana msimamo.
 
Hana msimamo. Uache x wako, uende ukatoe posa hadi ndoa kutangazwa then urudi kwa x. Hao wazazi watakaokubali nao mazwazwa
Kama kaletewa file dk za mwishoni unadhan inakuwaje ni maamuzi magumu tu
Huwez kujilipua kisa tu kuna paperworks zimefanyika mzee madhara mbeleni ni makubwa bora kuyakata huku mwanzo
 
Kama kaletewa file dk za mwishoni unadhan inakuwaje ni maamuzi magumu tu
Huwez kujilipua kisa tu kuna paperworks zimefanyika mzee madhara mbeleni ni makubwa bora kuyakata huku mwanzo
Mimi simlaumu kumuacha huyo mwanamke. Ila kurudi kwa x ghafla inaonyesha hana msimamo. Na kama ningekuwa wazazi wa x nisingekubali mwanangu aolewe na huyo William. Bora angetulia atafute mwanamke mwingine. Hata huko kwa x hatapata amani. Ma x wengine wanakuwa wanalipiza kisasi.
 
Huyo manzi alitingisha Sana miaka ya 2011-2015 kule Facebook kwa kujiachia na mipicha ya starehe na kujisifia baadae wahuni wakagundua ni mdangaji Sasa inaonekana Mzee Willy akasanuliwa ameona yasiwe mengi Mambo na Mambo yasiwe mengi na ndo Kama mlivyosikia wazee.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
William william bora atembelee spea og kuliko tairi aliyozani mpya kumbe lilikuwa linasubiri aanze safari limpindue
 
William william bora atembelee spea og kuliko tairi aliyozani mpya kumbe lilikuwa linasubiri aanze safari limpindue
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuchukua uamuzi huo wa kibabe ,wengi wao nowdays wanaoa ili mradi tu afidie mahali yake hata kama kasikia wife to be ni 'muuzaji'.

Mwisho wa siku sonono stroke analamba vumbi akiwa bado tegemeo la familia.
 
Maamuzi aliyofanya ndugu William,, vijana wengi humu hawawezi... Jamii imewashikia maamuzi mengi so wanaogopa watu watawafikiriaje...

Kama msemaji wa mabraza wa miaka 40 natoa pongezi kwa William popote alipo...

Uamuzi wa kiume sana, iwe kwa sababu zake binafsi au kutokana na sababu za huyo Demu...

Ameepusha Mengi sana hapo baadae...
 
Kafanyaje huyo willium,hiyo attachment mvona kwangu inavoma kufunguka!!!?[emoji849]
 
Mimi kama kingekuwa wazazi wa Linda nisingekubali mwanangu aolewe na Willium, mwanaume aambae hana msimamo.
Vipi kama umechumbia karibu na kuoa halafu wanakuja majamaa wanakupa video nyingi tu za mke wako mtarajiwa akigawa utamu na ushahidi mwengine mwingi vipi bado utaoa?

Simaanishi jamaa alioneshwa videos ila hilo ni swali langu personal kwako
 
Ukikua utayaona.
Mimi mtu mzima ati.
Vipi kama umechumbia karibu na kuoa halafu wanakuja majamaa wanakupa video nyingi tu za mke wako mtarajiwa akigawa utamu na ushahidi mwengine mwingi vipi bado utaoa?

Simaanishi jamaa alioneshwa videos ila hilo ni swali langu personal kwako
Mimi nasema kama ningekuwa wazazi wa Linda huyo William nisingekubali kua binti yetu. Ingawa story yenyewe nasikia ni ya kutunga hii
 
Back
Top Bottom