Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Na yeye huyo binti ni mchumba wake lakini!
Mmh arudi saizi?? Asubiri kwanza buanaso sad!vip huyo dada alihudhuria msibani!hapana kwakweli YESU arudi tu
Hata mimi nimeshangaa aisee[emoji1] [emoji1] YESU tena??
Hata angekuwa mkeo taarifa mhimu utakuja kufa kwa presha r.i.p Francis Ngolle japo kifo umejitakia
Siyo kisa k,upendo ,na siyo kujamiana kupenda ni ugonjwa mkubwa sana yalinikuta kama hayo ,ilibaki kdogo nimue MTU,toka hapo cjawahi penda mwanamke, japo Nina Mke nmeshamwambia sikupendi ila nitalidhika na heshima utakayonipa,kupenda kubaya sana pole sana marehemuSorry, lakini lazima niseme tu ukweli... kupigana kisa k.. ni ushamba.
Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Umeongea jambo limenikaaUkiona mwanamke wako ana mahusiano na mwanaume mwingine ni dalili ya kwamba amekudharau, ni kumuacha aendelee tu na wewe kuangalia ustaarabu wako. Kupigana na mwanaume mwenzako kwa ajili ya mwanamke anayekudharau ni upuuzi.
Itakuwa wana undugu,kuna mchangiaji amesema huyu Fransis alihitimu degree ya Geology 2014 UDSM. Sasa hapo unaweza connect dots. Watu wanasoma kwa malengo.Ana kaka yake anaitwa Tom ngolle yuko madini dom au ni majina tu yamefanana naomba kujuzwa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
"Kwichi na kuzaa",Hapa kuna la kujifunza,
1:usifanye mapenzi km kitu kikuuuubwa cha kujidai unpeeeeenda,inabidi tuishi kimapenzi km mbuzi vile,yani tuchukulie poa,ili ikitikea unamkuta mtu isikuume
2:hapana haja ya kupigana,hasa nyie vijana wa dar wazee wa chips kuku,unaanzaje kupigana wakati kupigana haujui?,ukivimbisha kakifua na tumbo kwa manyama uzembe unajiona unaweza kupigana,kupigana zama hizi ni ujuzi,sanaa na mbinu,
Sasa mtoto wa mama hauna ujuzi unajidai kukunja ngumi,
3:ifike mahali wanaume tuwe na roho za kiume,wanaume wengi suruali tu,uanaume ni spirit na moyo mpana,wanaita kifua cha kubeba magumu,
Umekuta hawara ama mkeo anafanya uzinifu chukulia poa achana nao kiroho safi,Fanya maamuzi mengine kumuacha ama kusamehe,tuache wivu wa kitoto,maana mwenza akichepuka hajabakwa lazima kuna sababu,sasa badala ya kushugulika na sababu unahangaika na mtu?
Na la zaidi watoto wadogo acheni ngono Hanna vifua vya kubeba changamoto,
Lkn kubwa zaidi tufute neno mpenzi vichwani,tuweke neno kwichi na kuzaa
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
R.I.P Francis Ngolle,tulikupenda,Mungu kakupenda zaidi.Bwana Yesu muache apumzike kwanza huko aliko,kesi zenyewe ndio hizi tunazo mkwaza kila siku.so sad!vip huyo dada alihudhuria msibani!hapana kwakweli YESU arudi tu
Hawezi kuanza kupigwa tu hivi hivi lazima alitunisha ubavu either wa ngumi ama ubavu wa mdomo,hebu chukulia km angechukulia poa na kutoongea kitu,akatoka zake na kusepa,ama hata tu kumpa taarifa huyo mwanaume alomkuta kuwa huyu ni mchumba wake na kwa kuwa imekuwa hivo awaachie na yao,undhani wangepigana,wanaume huwa tunauelewa sana na huwa tunafanya mambo kiume hata yawe magumu,Pengina hakujitakia, kama hakujua, keshaenda kwa wazazi, anaenda, anamkuta askari, anaanza kupigwa yeye, amejitakiaje mkuu?
Kumegewa Mke Au Mume Kunauma AiseeUpumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!