Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ha ha ahaa kama kilugha cha kilimanjaro itaandikasawa sawa,,nikiongea kiluga pia itaandika,,anyway napenda kusoma zaidi mara chache na comment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ahaa kama kilugha cha kilimanjaro itaandikasawa sawa,,nikiongea kiluga pia itaandika,,anyway napenda kusoma zaidi mara chache na comment.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli K ni KHujatembea ukakutana na K mnato wewe.
K inakukaribisha kabla hujapiga hodi.
K ina vikolombwezo kibao
K inanukia alhudi, mjahidulu, mnatonato....
K inanawiwa shabu, inapanguswa kwa ufusho wa uturi waridi.
K inakuchekea
K imenona
K ina futa moja matata sana
Acha tu K iitwe K.
Ndio maana wanaume mnauana
Unachosema ni kweli, ila inategemea na mazingira, hv upo na mke wako ikatokea mtu kamzaba kofi mkeo utafanyaje, utanyamaza ? [ huo ni mfano tu]
Kumbe kuna uongo mzuri?Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.
Wengi sana mnalea watoto wa wenzenu kutokana na aidha ukali wenu au kutokutujali
Mwanaume hawezi kuficha mtoto ,atamleta kwako na wewe unajua kabisa unalea mtoto asiekua wako na utajua umlee kwa staili gani.Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.
Wengi sana mnalea watoto wa wenzenu kutokana na aidha ukali wenu au kutokutujali
Kwa sababu zipo sababu nyingi sana za kucheat:-Hahaa, hadi una cheat unatafuta nn hasa? An way naomba nije pm nna mazungumzo na ww kdgo [emoji4]
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Rudia kusoma uzi utaelewaUchumba wa kimila na kidini au wa kutifuana tu?
Ndo ya mwenda tezi na omo...Yeah alienda kumjua mume mwenzie ndio alichoambulia sasa
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
hiii nikweri madame B. hata mimi huwa nawashauri hata wadogo zangu tafadhali muwe mnaonjaonja vitu hivi mgali na miaka ya sekondari. ukipita dry huku ujue huko ukubwani unajitafutia majanga. utaenda ukaburuzwe mpaka usahau una wazazi na ndugu zako. tena usiombe ukapenda kwa kahaba ambalo limeshakubuhuu. wewe unamihemuko ya mapenzi, lenyewe lina act movie ya love story. utakomaWanaume waliobalekhe ukubwani ndio huwa mara nyingi wanababaika na vikolombwezo hivi.
Ila hawa waliobalekhea porini, wala hawashtushwi na mbwembwe za k mnato.
Mie nishashuhudia idadi kubwa ya wanaume wakichizika kisa K.
Unakutana na K inakuminya mpaka unatoa pesa kwenywe wallet bila kujijua.
Kuna K ina hizo sifa zote ulizoainisha hapo? Na vipi wale wanawake wanaouana kisa D?Hujatembea ukakutana na K mnato wewe.
K inakukaribisha kabla hujapiga hodi.
K ina vikolombwezo kibao
K inanukia alhudi, mjahidulu, mnatonato....
K inanawiwa shabu, inapanguswa kwa ufusho wa uturi waridi.
K inakuchekea
K imenona
K ina futa moja matata sana
Acha tu K iitwe K.
Ndio maana wanaume mnauana
Unaweza kuta jamaa ilimkaba ikajua marehemu ndio mwiziKumfumania mwanamke na kuanza kupaniki nao ni udhaifu.
Wenzio huwa tunapotezea na maisha yanaendelea.
Akinipenda ataniheshimu nami nitalidhika na heshima hiyo,humjui mwanamke anapogundua anapendwa utajinyonga,usiwe muwazi kwake atakutesa be care
Duh Humpendi Halafu Mnaishi Wote
Kumbe kuna uongo mzuri?
Vipimo vya DNA/paternity test vinahusika kwa watoto, mi siwezi kulea mtoto ambae sio wa kwangu bila kujua.
Tema mate chini kaka....tafadhari.
Hivi unatujua sisi au unatusikia?
Mshukuru Mungu kakupa mke mwema na mwaminifu kaka.
Kaka kuna watu wanalea Walton mpaka watano ila wote sio wake.
Mkuu....hayajakukuta.
Yakikukuta tutakuja kuifufua hii thread upya hata ipite miaka mia, labda tu Jf ife
Kaka tafadhari weeee.....Kumbe kuna uongo mzuri?
Vipimo vya DNA/paternity test vinahusika kwa watoto, mi siwezi kulea mtoto ambae sio wa kwangu bila kujua.
Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo jamaa hata mimba haikuwa yake?kupenda hukuiko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti