Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Tunaongelea fumanizi na kifo jombaa
Hujatembea ukakutana na K mnato wewe.
K inakukaribisha kabla hujapiga hodi.
K ina vikolombwezo kibao
K inanukia alhudi, mjahidulu, mnatonato....
K inanawiwa shabu, inapanguswa kwa ufusho wa uturi waridi.
K inakuchekea
K imenona
K ina futa moja matata sana
Acha tu K iitwe K.

Ndio maana wanaume mnauana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli K ni K
Unachosema ni kweli, ila inategemea na mazingira, hv upo na mke wako ikatokea mtu kamzaba kofi mkeo utafanyaje, utanyamaza ? [ huo ni mfano tu]


Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.
Wengi sana mnalea watoto wa wenzenu kutokana na aidha ukali wenu au kutokutujali
Kumbe kuna uongo mzuri?

Vipimo vya DNA/paternity test vinahusika kwa watoto, mi siwezi kulea mtoto ambae sio wa kwangu bila kujua.



Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.
Wengi sana mnalea watoto wa wenzenu kutokana na aidha ukali wenu au kutokutujali
Mwanaume hawezi kuficha mtoto ,atamleta kwako na wewe unajua kabisa unalea mtoto asiekua wako na utajua umlee kwa staili gani.

Lakini kwa mwanamke utakuta unalea toka mimba ,kumbe sio yako,mbaya zaidi hujui hiyomimba amaipata mazingila gani,bora ukoo wao wawe wenye busara na wasomi,usiombe usingiziwe mtoto ambae asiri ya kwao ni wachawi au vibaka.huyo mtoto atakusumbua sana.

Utasikia mtoto kamkata panga babaake kumbe hata sio damu yako masikini.
 
Hahaa, hadi una cheat unatafuta nn hasa? An way naomba nije pm nna mazungumzo na ww kdgo [emoji4]

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu zipo sababu nyingi sana za kucheat:-
Huenda mume haniandai, ananiparamia tu...lazima nikaandaliwe nje
Mume hajui kuninyonya....nitaenda nyonywa nje
Mume hajui mara ya mwisho kanibeba lini zaidi ya siku ya harusi....nitaenda kubebwa nje
Mume hajui sehemu za kunipa ashki.... zitatafutwa nje.
Mume kila siku style ile ile ya popobawa kaingia mjini...nitaenda pewa style zingine nje
Mume hajui mara ya mwisho hajui mara ya mwisho kuniparada lini....nitaenda paratiwa nje.
Hajawahi nibusu, huyu lazima achitiwe, hamna namna.
Pm kuna nini bhana....unataka nicheat?
 
R.I.P kijana Ngolle. Sisi binadamu tunapaswa kutambua kwamba huna hati miliki ya mtu yoyote hapa duniani hata kama ni mchumba, boyfried, mume au mke wako. Inabidi tutambue na kutafakari thamani yetu kwanza. Inabidi tutambue kwamba raha, huzuni, matatizo ni sehemu ya maisha kwa hiyo hakuna sababu ya kung'ang'ania mtu ambaye hakupendi. Mchumba au mume kama ameamua kukusaliti achana naye kwani utapata mwingine wa kufanana naye.
Mimi katika maisha yangu nimejiwekea msimamo kwamba sitapigana au kugombana na mtu ambaye amenisaliti, ni kumuacha tu aende zake. Nilishawahi kusalitiwa na mume wangu wa ndoa tena kwa kumleta mchepuko ndani, nilichofanya sikugombana na mtu, niliondoka na kuanza maisha upya na sasa hivi nina furaha.
 
Wanaume waliobalekhe ukubwani ndio huwa mara nyingi wanababaika na vikolombwezo hivi.
Ila hawa waliobalekhea porini, wala hawashtushwi na mbwembwe za k mnato.
Mie nishashuhudia idadi kubwa ya wanaume wakichizika kisa K.
Unakutana na K inakuminya mpaka unatoa pesa kwenywe wallet bila kujijua.
hiii nikweri madame B. hata mimi huwa nawashauri hata wadogo zangu tafadhali muwe mnaonjaonja vitu hivi mgali na miaka ya sekondari. ukipita dry huku ujue huko ukubwani unajitafutia majanga. utaenda ukaburuzwe mpaka usahau una wazazi na ndugu zako. tena usiombe ukapenda kwa kahaba ambalo limeshakubuhuu. wewe unamihemuko ya mapenzi, lenyewe lina act movie ya love story. utakoma
 
R.I.P huyo askari aliyefanya hayo mauaji yuko wapi? Hana jina?
 
Hujatembea ukakutana na K mnato wewe.
K inakukaribisha kabla hujapiga hodi.
K ina vikolombwezo kibao
K inanukia alhudi, mjahidulu, mnatonato....
K inanawiwa shabu, inapanguswa kwa ufusho wa uturi waridi.
K inakuchekea
K imenona
K ina futa moja matata sana
Acha tu K iitwe K.

Ndio maana wanaume mnauana
Kuna K ina hizo sifa zote ulizoainisha hapo? Na vipi wale wanawake wanaouana kisa D?



Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini alipigana?

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 

Duh Humpendi Halafu Mnaishi Wote
Akinipenda ataniheshimu nami nitalidhika na heshima hiyo,humjui mwanamke anapogundua anapendwa utajinyonga,usiwe muwazi kwake atakutesa be care

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kuna uongo mzuri?

Vipimo vya DNA/paternity test vinahusika kwa watoto, mi siwezi kulea mtoto ambae sio wa kwangu bila kujua.
Tema mate chini kaka....tafadhari.
Hivi unatujua sisi au unatusikia?
Mshukuru Mungu kakupa mke mwema na mwaminifu kaka.
Kaka kuna watu wanalea Walton mpaka watano ila wote sio wake.
Mkuu....hayajakukuta.
Yakikukuta tutakuja kuifufua hii thread upya hata ipite miaka mia, labda tu Jf ife
 
Pole yenu...kuna umuhimu wa kila mtanzania kuwa na access na jf mada kama hizi zinajadiliwa sana. Watu wanatoa experience zao ktk matukio kama hayo na nn cha kufanya in those situations.
Simlaumu marehemu, lakini alikosa experience ku handle the situation. Such a great loss
 
Kumbe kuna uongo mzuri?

Vipimo vya DNA/paternity test vinahusika kwa watoto, mi siwezi kulea mtoto ambae sio wa kwangu bila kujua.



Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
Kaka tafadhari weeee.....
Kaka hivi unatujua sisi wanawake au unatusikia?
Mshukuru Mungu kakupa mke mwema na mwaminifu.
Kuna mtu analea watoto zaidi ya watano na si wake...
Kaka tafadhari mkuu.
Yakikukuta tutakuja kuifufua hii thread hata ipite miaka mia.
Labda tu Jf ife
 
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti
Kwa hiyo jamaa hata mimba haikuwa yake?kupenda huku

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom