AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
duh mkuu ila mimi sijaona kosa kaka, kwanini hamtarifu nakuja, kweli goma lako alafu unaishi kama uko vitani why uvizie vizie, mfano mimi naelewa issue za simu ila mimi mke wangu hanizui mimi kushika simu yake na mimi si mzuhi maisha yanaenda yani tumekeana huo huaminifu hadi inafika unaona sina haja ya kushika na hata nikishika nikikuta issue sio si shituki wala ku panic, yalio mkuta jamaa ni bahati mbaya tuh na yote kwajili ya kupanic tuh. nachoshanga mimi huyo demu kuingiza goma kwake ndo tatizo angekua kweli ana heshimu jaamaa angekua anafanyia hotel au mbali huko ila pale ange weka respect kua hapa home bwana.Mkuu wanawake siyo wa kuaminika sana , kitendo cha jamaa kuishi mbali na mpenzi wake na huku mpenzi wake akiishi peke yake kwa maana ya kujitegemea jamaa alipaswa kupiga sana hesabu zake kabla hajafika anapoishi huyo mwanamke.
Namaanisha kitendo cha mtu kuwa distance na mke/mume/mpenzi wake inaweza kutengeneza loop hole ya uaminifu kupotea.
Kwa hiyo marehemu Francis ni kama alivamia himaya ya watu pasipo kufaham