Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Mkuu wanawake siyo wa kuaminika sana , kitendo cha jamaa kuishi mbali na mpenzi wake na huku mpenzi wake akiishi peke yake kwa maana ya kujitegemea jamaa alipaswa kupiga sana hesabu zake kabla hajafika anapoishi huyo mwanamke.

Namaanisha kitendo cha mtu kuwa distance na mke/mume/mpenzi wake inaweza kutengeneza loop hole ya uaminifu kupotea.

Kwa hiyo marehemu Francis ni kama alivamia himaya ya watu pasipo kufaham
duh mkuu ila mimi sijaona kosa kaka, kwanini hamtarifu nakuja, kweli goma lako alafu unaishi kama uko vitani why uvizie vizie, mfano mimi naelewa issue za simu ila mimi mke wangu hanizui mimi kushika simu yake na mimi si mzuhi maisha yanaenda yani tumekeana huo huaminifu hadi inafika unaona sina haja ya kushika na hata nikishika nikikuta issue sio si shituki wala ku panic, yalio mkuta jamaa ni bahati mbaya tuh na yote kwajili ya kupanic tuh. nachoshanga mimi huyo demu kuingiza goma kwake ndo tatizo angekua kweli ana heshimu jaamaa angekua anafanyia hotel au mbali huko ila pale ange weka respect kua hapa home bwana.
 
Dah..... Inasikitisha..
Apumzike kwa amani.
 
Hilo ni janga la kujitakia! Kila siku tunayaongea humu JF, watu wengi hawajifunzi!

Mwanaume. ! Ukitaka kukatisha maisha yako kijingajinga, nenda kwenye chumba cha mwanamke, mchumba au hata mchepuko wako! Utakuwa umejitakia kifo chako mwenye kizembe! Mwanamke huwa hafuatwi! Badala yake, huwa tunawaambia watufuate! Hiyo ndo busara ya kuepusha kukutana na mwanaume mwenzio, ikawa vita.

Pole kwa wafiwa. Fundisho kwa vijana.
 
Francis Ngolle alikuwa tayari amejitambulisha kwa wazazi wa mchumba wake kwahiyo wazazi wa pande zote mbilli walikuwa wanatambua pia.
Kujitambulisha na kutambulika kwa wazazi ndio kuoa? Si angemuacha atafute mwingine au alichanjiwa kumuuoa huyo tu. Jamaa amekufa kizembe sana. Watu wanaoa na kuacha sembuse kujitambulisha tu? Amevuna alichopanda.
 
hata kama anapiga lakini hajafumaniwa, tatizo ni kukamatwa ukicheat...

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Haya ndio kashakufa sijui ataenda kujibu nini kwa Mungu. mimi nawewe hatujui.
 
Francis Ngolle alikuwa tayari amejitambulisha kwa wazazi wa mchumba wake kwahiyo wazazi wa pande zote mbilli walikuwa wanatambua pia.
Haahh.....

Mkuu wacha tusikitike tu na tuombe marehemu apumzike.

Ila hakua na mamlaka hata tone la maji kwa mwanamke huyo...

Kifupi marehemu ndio aliwavamia na kuwaanzishia vurugu.
 
Sorry, lakini lazima niseme tu ukweli... kupigana kisa k.. ni ushamba.

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Ofcorse ni ushamba sababu hujawai penda....

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Alifunga safari kutoka Dar kwenda kwa mpenzi wake Mwanza bila kutoa taarifa?

Wanawake wengi sana siwezi anza kupigana na mwanaume mwenzangu sababu ya mwanamke.

Apumzike Mahali alipoandaliwa na Mungu.
 
Ndio maana mim nawatomb...aga nasepa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
duh mkuu ila mimi sijaona kosa kaka, kwanini hamtarifu nakuja, kweli goma lako alafu unaishi kama uko vitani why uvizie vizie, mfano mimi naelewa issue za simu ila mimi mke wangu hanizui mimi kushika simu yake na mimi si mzuhi maisha yanaenda yani tumekeana huo huaminifu hadi inafika unaona sina haja ya kushika na hata nikishika nikikuta issue sio si shituki wala ku panic, yalio mkuta jamaa ni bahati mbaya tuh na yote kwajili ya kupanic tuh. nachoshanga mimi huyo demu kuingiza goma kwake ndo tatizo angekua kweli ana heshimu jaamaa angekua anafanyia hotel au mbali huko ila pale ange weka respect kua hapa home bwana.
Dah ndio hivyo imeshatokea mkuu
 
Ofcorse ni ushamba sababu hujawai penda....

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Kupenda mtu mwingine zaidi ya nafsi yako ni ujinga.

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Sawa kabisa mkuu, au kama sasa kupiga simu unapotoka, umefikia wapi, dk au lisaa kabla hujaingia, yasaidia kumpa taarifa mwenzako aondowe vithibiti, ajitayarishe, atayarishe mazingira ya boma lako kama ulivyoliacha..
Sababu wanawake hawachezwi tena, midume napo wala hatuendi jando mkuu, madhara yake ndio haya...maendeleo yana tabu sana Afrika..
Hayo mambo yatanishinda jombaa.kwangu niingie kwa taarifa?
Nikimkuta na mtu ni TALAKA TU.wala sileti ugomvi.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Uyo mwehu unakufaje kisa changu???
Unampotezea utachukua mkali zaidi yake. It is that simpo.
 
huyu jamaa namjua vizuri nilisoma nae pia nimekaa nae mtaa mmoja

R.I.P Francis
Huyu ana undugu na kina Nico Ngole waliokuwa wanakaa ma flat ya Drive In Dar?

R.I.P

Wadogo zetu wanafariki wadogo sana. Bikira wa Kisukuma then huyu.

Sent from my Kimulimuli
 
wanawake ni wakutomba na kuwaacha kuleeee....mnapenda penda ili iwejee...

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
dah inauma sana. lakini mapenzi haya jamani. wanaume wanawake wote wanachiti uaminifu in zero. RIP kaka
 
Hakuna cha mate chini wala juu, ya-raab nafsi yangu sio zetu jombaa

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom