Inauma sana na haivumiliki

Umekaa umevumilia nini peleka upuuzi kule we una uhakika gani kama na yeye alikuvumilia na umasikini wa kutokea kwenu ambao ulizidisha umasikini kwake zaidi... Gender ya ajabu sana nyie, Yaani hamuaminigi kama na ninyi ni masikini bali mnaonaga tu kwamba maskini ni mwanaume ulienae, Grow up ujitafute maana hata wanaume waliojipata sikuhizi wanataka pisi zilizojipata
 
Mwijaku
 
Ukihitaji wahuni niambie
 
Tafsiri ya mafanikio ni pana sana
 
Mkuu hao wanaume waliopata mafanikio wanawake wakiwa nyuma yao wapo Japo ni wachache
 
Umeshiriki maumivu ya kuishi bila kitu na haujashiriki furaha ya kupata kwa maana ya jasho la uso, by the way tunatofautiana... Njoo huku tusukume maisha
 
Hakuna haja ya kumlalamikia mtu siku zote unavyopata maumivu hiyo ni njia yako yakufika katika mafanikio na kutoka katika kifungo hili watu wengi hawalijui Mungu anayajua mengi ya mbele yetu kuliko sisi shukuru kwa kila jambo anza sasa kusoma biblia kufungua na kuomba huwezi jua Mungu kakupangia Nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…