Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Afu nna Kopo langu sasa, nalikubali hatari.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, nao ni watu wanahitaji kuitwa baba pia. Lol
Eng achana na kopo bwana, tunaoumia ni Sisi ndugu zako.
 
Hapana sisi ni waafrika mtoto ni mali.. Ya Mungu na Serikali pia.. Atakuwa tu... Na Mungu atafanya miujiza.. Maana yeye ndiyo Muumba wake..
Asilimia kubwa huishia kuwa panya Road na wauza nyapu

Ova
 
Back
Top Bottom