Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Shida ni kuwa wengi tumepatikana sio kwa mipango ya wazazi kuwa wawe na mtoto ila ni katika hali ya kutafuta utamu wa sex ila ndo huko huko anapatikana kiumbe.

Elimu kuhusu njia zipi za kutopata mimba ni ndogo sana (zinafundishwa sana shuleni ila watu hata hawawezi kuzitumia ki usahihi) darasa la 5 wanafundishwa form 3 pia wanazifundishwa ila sasa mimba za utotoni ni nyingi sana, kesi za kupata mimba kabla ya muda husika zipo tele. Na hao wote walizozipata ukiwauliza utaskia bahati mbaya( haikuwa kwenye mipango kabisa).

Alafu na wazazi mnachokosea wengi ni kuamini watoto wenu hawafanyi mapenzi, mnakazana hoo usifanye mapenz badala ya kuwafundisha watajilindaje na mimba au maradhi mnakazania tuu usi fanye mapenzi.. Zile hamu za ujanani hazisikii kituu zile hata uzionye vipi muhimu kushauri azitumiaje ki usahihi.

Hakuna watu wanafanya ngono hovyo kama wazungu( tena mama au baba anajua kabisa boyfriend wa mwanae) anakuja nae mpaka nyumbani muda mwingine wanakuwa wote chumbani ila hizi kesi za mimba za utotoni kama zetu hawana.. Tatizo ELIMU
 
kwaiyo unaionea wivu kummer ya dada ako!? hiyo ni mali yake, acha amtunuku amtakae. akishazalishwa atajua mwenyewe kuwa hajui, ila asinisumbue tu kwa malezi ya mjomba anko.
 
😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu acha bana tu ignore soon...
Tupo kujadili mambo ya maana..

Unajua at the end sisi wanaume ndo tunakua source ya jamii ya hovyo mkuu..

Just focus katika mada mana usitegee utakaa katika uo umri wako mpaka kufa.
Kuna kipindi utakua na familia na watoto hapo utajua uchungu wa mtoto wa kike kuharibikiwa akiwa bado yupo nyumbani hapo..

Omba mungu sana mkuu maisha haya
Mwanamke anakuwa amebakwa? Kama hajabakwa Kwa nini upanue mapaja Kwa mtu usiyemfahamu vizuri?
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Wewe unataka kutombwa na wewe au unataka nini? Dada yako si ushukuru katombwa na kutiwa mimba na huyo huyo kopo kuna wenzake wana wenye mihela na hawashiki mimba kengewe, kakae kwa shemeji yako kopo na wewe akutie mimba

Ban rukhsa ila hili lazima likufikie dumejike
 
Watoto wa kike wakiwa kwenye ubora wao huwa hawashikiki
Hapo anajiona anajua kila kitu, anafikiri dunia nzima ipo chini ya unyayo wake. Kwenye foolish age mabinti hawashauriki hawaambiliki. Tena kwenye kizazi tulichopo ambacho mtoto wa kike amepewa uhuru wa kwenda kinyume na maadili na kufanya ngono kiholela bila kuwajibishwa ndio imekua balaa
 
Wewe unataka kutombwa na wewe au unataka nini? Dada yako si ushukuru katombwa na kutiwa mimba na huyo huyo kopo kuna wenzake wana wenye mihela na hawashiki mimba kengewe, kakae kwa shemeji yako kopo na wewe akutie mimba

Ban rukhsa ila hili lazima likufikie dumejike
Ukiwa kopo hata kwangu nakufukuza
 
Na wewe nenda ukatombwe na hilo kopo lenye mbegu za kuzalisha kinakuuma nini? Stupid ndio maana watoto wa mafukara wanaigiza wanaishi maisha ya juu kukodi nguo viatu mpaka magari ili wawatombee dadazenu mbwa nyie
 
Na wewe nenda ukatombwe na hilo kopo lenye mbegu za kuzalisha kinakuuma nini? Stupid ndio maana watoto wa mafukara wanaigiza wanaishi maisha ya juu kukodi nguo viatu mpaka magari ili wawatombee dadazenu mbwa nyie
Ukiwa kopo kwangu huwezi kuja kuoa na nafukuza huyo mjinga mwenzio.
 
Ukiwa kopo hata kwangu nakufukuza
Utatombewa mpaka mkeo na watoto wa mafukara mbwa mmoja wewe watu watakukodishia hata kwa siku moja tu wambabue na azalie ndani ya nyumba yako na mtoto wako pia watamjaza vile vile siku atakayoanza kuchojoa ndio utaelewa show kua havikua vya kwake
 
Utatombewa mpaka mkeo na watoto wa mafukara mbwa mmoja wewe watu watakukodishia hata kwa siku moja tu wambabue na azalie ndani ya nyumba yako na mtoto wako pia watamjaza vile vile siku atakayoanza kuchojoa ndio utaelewa show kua havikua vya kwake
Mbona siwaoni wakifanya hivyo? Wewe kama ni kopo na fukara usisogee kwangu.
 
Hapana sisi ni waafrika mtoto ni mali.. Ya Mungu na Serikali pia.. Atakuwa tu... Na Mungu atafanya miujiza.. Maana yeye ndiyo Muumba wake..
Iyo ilikua applicable zamani mtoto akifikisha miaka 7 tu anaanza kusaidia shughuli za familia mfano kilimo kwaiyo mtoto alikua nguvu kazi.

Sasa hivi mtoto akifikisha huo umri anatakiwa kwenda shule, akifika umri wa utu uzima anatakiwa kuondoka nyumbani na kwa tatizo la uhaba wa ajira tulilo nalo anaweza ashindwe nuondoka na akabaki hapo hapo nyumbani

Hana domestic life skills, elimu imemuandaa kuajiriwa na ajira hakuna. Anaishia kuwa mzigo wa wazazi. Kwa sasa masikini kuzaa mtoto ni liability sio mali kama zamani.
 
Suala la dada zako na wadogo zako ni jukumu la wazazi wako siyo wew, waafrica tunapenda kujibebesha majukumu ambayo ni unnecessary, wew Deal na watoto wko.
Tuache ujinga wa kutaka kuwageza wazungu. Waafrika tunalea watoto ili nao waje kuwatengenezea njia wadogo zao, kwaiyo mdogo wako wa kike akitiwa mimba huo ni mzigo wako pia hii maana yake hata kumchunga automaticaly linakua ni jukumu lako pia
 
Weka akiba ya maneno mzee mwenzangu. Malezi ya watoto wa kike yamekua changamoto. Kuna ajenda nyingi za kishetani zinaenezwa kupitia kwa mwanamke.

Pia kuna mashirika, wanaharakati, taasisi, NGO n.k hawa watu wamekua wakitetea upuuzi wote unaofanywa na mabinti wadogo na wanawake kwa kisingizio kwamba wanatetea haki za wanawake.

Ambao wapo mstari wa mbele katika izo platforms ni mafeminists na single mothers ambao wamepitia heartbreakings nyingi wanaishi na vinyongo kwaiyo secrete agenda yao ni kuwafundisha wanawake kuwachukia wanaume na kuwapotosha mabinti nao waishie kuwa miserable pia(waswahili wanasema msiba wa wengi ni sherehe)

Mbaya zaidi izo movements zote zinapewa nguvu na sapoti na watu wenye pesa na mamlaka katika dunia hii kwaiyo sio rahisi kuishinda iyo vita ukiwa mtu mmoja.

Kwaiyo weka akiba ya maneno mzee mwenzangu, subiri kwanza hao wadogo zako wapite salama kwenye ile interval ya miaka 15-25 ndio umalizie maneno yaliyobaki
Mkuu nakubali ndio maana nasema neno insha'Allah maana yake nini..
Maana yake ni kuwa pia katika juhudi zangu zote Mungu nae awepo
 
Back
Top Bottom