Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Unasema tu wengi wenu ikishatokea hivyo mnakuwa wapole
 
Ile inakua akili yao au matope maana unakuta mwingine ni smart kabisa aiseee
Poor Brain Moto wa volcano wadada wakiwa kwenye peak Yao umri wa miaka 16-25, wengi wanachagua wanaume wa hovyo wa kuwazalia k.v waume za watu au boda boda wavuta bangi, washinda vijiweni kutwa

Moto wa volcano shida sio mwanaume kuwa na uwezo au kutokua na uwezo kuhudumia, ishu ni je huyo mwanaume aliemzalisha mdogo wako yupo responsible? ukichunguza vizuri unaeza kuta huyo mdogo wako wa kike alimkataa kijana wa maana tu ambae angeweza kuwa a responsible father

Wakifikaga miaka 28+ au 30+ ndo wanajuaga jinsi ya kuwa-notice responsible men .
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Dada yako anakuwa hana akili.
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
kwaiyo tunakubaliana mtawath.omba wenyewe ao dadazenu au?
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Inasikitisha sana mkuu 😭
 
Suala la dada zako na wadogo zako ni jukumu la wazazi wako siyo wew, waafrica tunapenda kujibebesha majukumu ambayo ni unnecessary, wew Deal na watoto wko.
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Hahaha mnataka nani azae? Halafu mkataa ndoa kuwa ni utapeli.
 
Mnakataa ndoa, mna tegemea nini? Kutwa nzima humu mna hamasishana ndoa ni utapeli. Sasa mnazani hao mabinti na wanaume hawana hamu?
 
Back
Top Bottom