Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Kwani mkuu wewe msimamo wako upoje kwa hawa dada zetu mbona unaongea as if hutokuja pata mtoto wa kike..

Onesha msimamo wako upo wapi naona kama unaegemea upande wa wapigaji mkuu
Sina upande elimu ya kujitambua ni muhimu sana ina mchango wake ila hailizuii hilo jumla, hisia ni kitu kingine hasa katika umri wa ujana. Ni anguko la wengi sana.

Nayasema hayo kwasababu nna mfano wa karibu sana ila sitopenda kuuweka hapa jukwaani.
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Wakati anafirimbwa analia kwa raha we ulikuwepo? Hayo ni matokeo ya starehe zake
 
Hapa umechanganya madesa kaka, hoja sio watoto wa shule, hoja ni kuzaa mapema na mtu asieweza kuyabeba majukum hali inayopelekea kuwa mzigo kwa ndugu.
Sijachanganya nipo mule mule...
Ni vile naelekeza msimamo wangu upo vipi kuanzia watoto wa shule mpaka huko tunapojadili mkuu hvo naelewa mada unazungumzia nini we usikhofu wala nini..?
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
kwaiyo tukakubaliana mtawath.omba wenyewe ao dadazenu au?
@Poor Brain @Moto wa volcano wadada wakiwa kwenye peak Yao umri wa miaka 16-25, wengi wanachagua wanaume wa hovyo wa kuwazalia k.v waume za watu au boda boda wavuta bangi, washinda vijiweni kutwa
sio kuchagua kiongozi. wengi wao inakuwa ndo kwanza wapo balehe wanatest mitambo, kuja kushtuka imesoma. ilitokea kwa kajomba ketu ile kamemalìza la saba tu wkt mzazi anajiandaa ampeleke seko kumbe dogo nayy kwenye ile likizo anaandaa mimba mpya. kule shule alikaa term moja tu wakamrudisha na tumbo lake. kumbana nani mhusika ikawa ndo dizaini za hao vijana wavuta mikokoteni. mzazi wake alisikitika sana.
 
Poor Brain Moto wa volcano wadada wakiwa kwenye peak Yao umri wa miaka 16-25, wengi wanachagua wanaume wa hovyo wa kuwazalia k.v waume za watu au boda boda wavuta bangi, washinda vijiweni kutwa

Moto wa volcano shida sio mwanaume kuwa na uwezo au kutokua na uwezo kuhudumia, ishu ni je huyo mwanaume aliemzalisha mdogo wako yupo responsible? ukichunguza vizuri unaeza kuta huyo mdogo wako wa kike alimkataa kijana wa maana tu ambae angeweza kuwa a responsible father

Wakifikaga miaka 28+ au 30+ ndo wanajuaga jinsi ya kuwa-notice responsible men .
Umeandika vizuri kaka sikupingi nakubaliana na hoja
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Mkuu hongera kwenu mna mali tupu. Wanne si haba.
 
Daaah inauma sana nikikumbuka ilibidi nitoke Iringa mpaka Mbezi kibanda cha mkaa ,sijui shimo la mkaa halafu nakutana shemeji yangu kavaa modo imembana kama mfuko wa gita,dogo kaamua kupiga chini na chuo kabisa anashinda tu saluni ya huyo chekibobu.Hakuna namna kimjomba chetu tunakilea na ninataka kije kuwa kibasket ball player 'CK the baller' remember the name.
 
Sina upande elimu ya kujitambua ni muhimu sana ina mchango wake ila hailizuii hilo jumla, hisia ni kitu kingine hasa katika umri wa ujana. Ni anguko la wengi sana.

Nayasema hayo kwasababu nna mfano wa karibu sana ila sitopenda kuuweka hapa jukwaani.
Mkuu niseme tuu kwa yaliyotokea kwa yule Ex wangu sitaki yatokee hata kwa wadogo zangu that why napinga vikali nipo radhi ata ningepata nafasi ya kuzunguka kila familia kuwapa elimu ya haya mambo
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Bwashe bashwe nifosie mmoja
 
Alafu nyie wenye kuwalinda sana ndugu zenu ndio waharibifu wakubwa 😂
Mkuu naweza kusema sijawahi kimbia majukumu...
Sijawahi na sitowahi kukimbia majukumu

Sijawahi na sitowahi kula mwanafunzi

Mkuu alhamdullilah mi nakula watu wazima mashangazi sasa kama kula.mashangazi ni kuwaharibh basi kwa hapa naombeni mni adhibu
 
Hujafa hujaumbika.
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Tajiri na masikini wako kaburini
 
Back
Top Bottom