Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Pepo wewe wadogo zangu wanasoma...
Then hata wakimaliza mi siwezi fanya huo uzwazwa kumpa mtu ambaye anatoka humu jf never..

Bora nimpeleke kwa al shabab hukoo
Mkuu kwa uzoefu wangu hakuna kazi ngumu kama kumchunga mtoto wa kike wa umri wa balehe. Labda uombe tu mtoto mwenyewe awe na akili za utulivu kinyume na hapo utahangaika sana bila mafanikio.
Na akishaonja ile kitu mkuu utafanya yote ila lazima aipeleke ikakwanguliwe liwalo na liwe. Wanakuaga kama wamechanganyikiwa.
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Shem hebu kaa kwa password.

Mimi ni dem wake na Mbaga Jr
 
Mkuu najua mimi mwenzako haya mambo nimeyavalia njuga toka nasoma

I can't mkuu acha mambo yako focus hapo 😂😂😂😂
Hahaha, mkuu wape elimu zaidi kuliko kuwa unawafuata fuata, walimwengu watakufikiria tofauti😂🤣
 
Wee mwenyewe ni hovyo na hujiwezi, kutwaa kuranda kwa kina Shangazi Dorry, ndo ujifanye kutaka mdogo ako apate bwana wa maana?
Poleeee 😂😂😂😂😂😂
Duhh
 
Mkuu kwa uzoefu wangu hakuna kazi ngumu kama kumchunga mtoto wa kike wa umri wa balehe. Labda uombe tu mtoto mwenyewe awe na akili za utulivu kinyume na hapo utahangaika sana bila mafanikio.
Na akishaonja ile kitu mkuu utafanya yote ila lazima aipeleke ikakwanguliwe liwalo na liwe. Wanakuaga kama wamechanganyikiwa.
Naomba Mungu sana ajaalie wale watoto mkuu...
Mkuu kwa upande wangu napambana sana sana tena sana aiseeee
Kama kitu nitaumia ni kuona mdogo angu ana haribikiwa akiwa kwa baba mkuu inauma sana aisee ni kumuomba mungu tuu na sio mungu peke yake na kupambana hata yeye kumpa elimu ya uzazi wa mpango...

Mkuu sikatai kwenda kuuponza kwa watu zake huko sawa it's oky ni hisia pia ni haki yake but suala la mimba akiwa kwa faza i don't what that stupidity....

Alafu kwa sasa yupo shule naomba mungu amalize salama na ndo.mana kila week lazima nipigiwe simu na mzee kunipa feedback za dogo aisee
 
Mkuu mshangazi una muharibu vipi..
Ebu kuwa na critical thinking mkuu wangu kweli mshangazi ni wa kusema namwalibia nini an..

Aaah mkuu sasa nakushusha vyeo ulikua ofisa ila sasa mkuu wewe kuruta aiseeee
Oa kijana unamharibu kisaikolojia, unadhani yeye haitaki ndoa?
 
Back
Top Bottom