Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Ujinga ujinga tuu as if yeye hatokuja kuwa na hao watoto..
Mi ndo mana huwa nakosana na wenzangu hapa kutwa kujisifia kutoka na wanafunzi..

Hiki kizazi cha laana sana mkuu
Mimi nikashaweka maagano siwezi kumzini mtoto wa mtu unless nishajitambulisha kwao...Hata waniletea maringo siwezi kuharibu future ya mwingine kwa tamaa za muda .
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Punguza too much expectations mkuu..

Kwa sasa hakuna nyumba ambayo binti hajazalia nyumbani, 99% ya kaya zenye mabinti hukosi alozalia nyumbani..

Vijana kwa sasa hawataki kuoa pia, hao wadogo zako wasipozalishwa kwa kutopenda, basi ipo siku watazaa wenyewe kwa kupenda, maana watakuwa wamefika ule muda wa "Kama kuolewa imeshindikana basi bora nizae tu".
 
Dada yako kamuona basha.wake wa thamani halafu wewe kaka mtu unamuona kopo hapo nani mshindi sasa
 
Mzee mapenzi hayachagui unayeona ww hafai ndo uyo dada yako kamwelewa kwaiyo heshimu maamuzi ya mtu
Mkuu ujue nini..
Hapo zamani nilikua naona kwenda shule kupoteza muda nikawa nataka kuwa fundi baskeli au niuze duka kwa kuwa niliishi kwa bamkubwa ambaye ni fundi.. na hapo still enough nilikua sijui mahesabu kihv an ndo kwanza shule ya msingi

But bila kuamuliwa na mzazi wangu kunifanyia maamuzi magumu mpaka leo sijui ningekua mtu wa namna gani i don't know but nisingekua better as now .

Maamuzi yawe yake au ya nani tutamnyoosha tuuu.. mbona kuna wazazi wanatukataa kisa sisi vijana tunajitafuta wanaenda kuozesha watoto wao kwa watu na pesa zao. Hapo mtu umekaa nae zaidi ya miaka sita alafu linakuja jitu linajua kuamua ety ataolewa na furani...

Haya mambo hayaishii hapa even me moto ule ule mkuu sikwepeshi kwa mdogo wangu...
Kama ni uzazi wa mpango tawapeleka wote hospital... Mkuu am seriously in that issue
 
Coca hakuna sheria yoyote inayonibana mimi kuhusu kula mashangZibut ukija kwa hawa watoto ambao wanajua kutiwa mimba wakiwa hom na mtu kukimbia majukumu hilo tatizo..

Hivi seriously shangazi anaharibiwa. How how
Huyo dorry toka kitambo ni chakalamu mi nakula ni vile basi tuu sasa habar ya kusema namwalibi nakushangaa ipoje hyo
Nasemajee, km vilee wee unavo mla Dorry, bas na wenzio wanamla huyo Dogo ako.

Tena wanamla kote kote, 😂😂😂😂😂😂
 
Mleta mada ana hoja yenye mashiko. Haina afya kabisa binti yako au dada yako usikie anadate na fukara! Hata Biblia iinasema

"Mwanzo 1:11 ".... na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ...... "

Unatakiwa uzae kwa jinsi yako. Masikini oa masikini mwenzio. Tajiri oa tajiri mwenzia (oa na zaa kwa jinsi yako)
 
Mkuu ujue nini..
Hapo zamani nilikua naona kwenda shule kupoteza muda nikawa nataka kuwa fundi baskeli au niuze duka kwa kuwa niliishi kwa bamkubwa ambaye ni fundi.. na hapo still enough nilikua sijui mahesabu kihv an ndo kwanza shule ya msingi

But bila kuamuliwa na mzazi wangu kunifanyia maamuzi magumu mpaka leo sijui ningekua mtu wa namna gani i don't know but nisingekua better as now .

Maamuzi yawe yake au ya nani tutamnyoosha tuuu.. mbona kuna wazazi wanatukataa kisa sisi vijana tunajitafuta wanaenda kuozesha watoto wao kwa watu na pesa zao. Hapo mtu umekaa nae zaidi ya miaka sita alafu linakuja jitu linajua kuamua ety ataolewa na furani...

Haya mambo hayaishii hapa even me moto ule ule mkuu sikwepeshi kwa mdogo wangu...
Kama ni uzazi wa mpango tawapeleka wote hospital... Mkuu am seriously in that issue
Kwaiyo unawaonea wivu dada zako
 
Mimi nikashaweka maagano siwezi kumzini mtoto wa mtu unless nishajitambulisha kwao...Hata waniletea maringo siwezi kuharibu future ya mwingine kwa tamaa za muda .
Mkuu wewe ni mimi kabisa....
Mkuu mimi kuanzia wanafunzi kwanza...
Sijui ioe donyoa donyoa hapana ni vile napata wadada ambao their poor on mentally heath..

Unakuta mtu unampanga lakini bado lenyewe linawaza mkikulana kila mtu apite na lake..

Na hii ndo sababu ya mimi kula mashangazi maana hawa wanakuwa hawana cha kupoteza
 
Pote pote mkuu..
Kuna mambo naomba mungu aisee sana tuuu na yakitokea ya kutokea hata albadili itapigwa
Ni jambo la kusubiri na kuona mkuu.
Expect anything to happen.
Dunia ni fumbo.
Dinia ni nyoko.
Dinia ni duara.
Dunia ina mambo.

Kila la kheri!
 
Moto mada unaniangusha

Unamwitaje mwanaume mwenzako kopo, KISA tu hana kipato?

Hujui kua ridhiki anagawa Mola?

Huamini katika kujitafuta?

Hujui wanaume wengi WA kiafrika wamepata pesa baada ya kuoa?

Je, akija kuzipata baada ya kua na dada Ako, Vipi utaendelea kumwita shemeji kopo?
 
Kwenye Dunia hii, Mtu Baki, rafiki anaweza kuwa zaidi ya Ndugu kwako.
Ndo maana mtu anaweza kufa, then rafiki tu akaumizwa na Kifo, na siku ya msiba akaja msibani akilia sana mpaka Ndugu za Marehemu wanashangaa, huyu ni nani!?

Wakati mwingine ilibidi tu tuzaliwe na Ndugu zetu ili maisha yaweze kwenda, pale unapozaliwa na wewe utakua na familia Yako, ukiwa na uwezo jaribu kusaidia Wazazi na Ndugu zako pale ukiweza.

Inapotokea Kwa issue kama ya Dada Yako, isikuumize coz mwisho wa siku Kila Mtu anapaswa kubeba Msalaba wake mwenyewe.

Nikiwa Kijana Mdogo sana nikiishi na Mama (Baba alikufa zamani) Kuna siku Dada zangu wakubwa walichelewa kurudi Nyumbani, nikawasubiri mpaka waliporudi, japo ni mdogo kuliko wao, mwingine tukitofautiana miaka 10, ila niliwawashia moto, mpaka Mama akaamka, Mama akasema nawadharau Dada zangu, nikamwambia Mama, Hawa Wanao hawatakuja kukusumbua wewe, Hawa watakuja kutusumbua sisi wa kiume, Wataleta Watoto hapa Kila mtoto na Baba yake, Mama zao hawataweza kuwatunza, baadaye Wataanza kutusukumizia Wajomba zetu, kwamba nenda Mjini, Mjomba wako ana uwezo, akakusomeshe, Mjomba atakupa Mtaji wa Biashara, na hapo sisi tutakua na familia zetu na majukumu mengi...... Maneno hayo namwambia Mama nikiwa mdogo, Leo Mama hayupo, niliyoasema ndiyo yamekua hivyo hivyo..!

Ushauri wangu kwako, angalia Maisha Yako na familia Yako, Ikuumize tu kama una mtoto wa kike hafu akazalia nyumbani, ila kama ni Dada, mwache azae hata Watoto 10 Kila mtoto na Baba yake, Atakuja kubeba Msalaba wake mwenyewe.
 
Punguza too much expectations mkuu..

Kwa sasa hakuna nyumba ambayo binti hajazalia nyumbani, 99% ya kaya zenye mabinti hukosi alozalia nyumbani..

Vijana kwa sasa hawataki kuoa pia, hao wadogo zako wasipozalishwa kwa kutopenda, basi ipo siku watazaa wenyewe kwa kupenda, maana watakuwa wamefika ule muda wa "Kama kuolewa imeshindikana basi bora nizae tu".
Mkuu ni kuomba mungu sijaweka exp 100 pacee but hyo isiwe sababu ya mimi nisiweke misingi na misimamo kwa wadogo zangu kwa kuwa hilo jambo la kawaida mkuu....

Ety ajari izuie mimi nisinunue gari mkuu its impossible but lazima kuwa na preparation pamoja na prevention hv na umakini mkuu...

Mi siwezi acha kuona dada angu anaingia katika shimo hilo huku nikawa nasema its normal...

Hii issue sio normal mkuu ila ni vile kaya nyingi zipo hvo... Naomba kwa huyu mzee wangu isitokee hv na ninao wengi sana aiseee daah its to sad
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Ukiona familia yenu haina mwelekeo na ni maskini wa kutupwa, fahamu tu kuwa mamaako alimpenda babaako kwa sababu ya vitu vya ujinga ujinga kama ndevu, kifua, sura, nk
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Naomba location mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom