Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Mkuu mshangazi una muharibu vipi..
Ebu kuwa na critical thinking mkuu wangu kweli mshangazi ni wa kusema namwalibia nini an..

Aaah mkuu sasa nakushusha vyeo ulikua ofisa ila sasa mkuu wewe kuruta aiseeee
Oa kijana unamharibu kisaikolojia, unadhani yeye haitaki ndoa?
 
Mm nachoshangaa kuita mtu mwanaume wa hovyo dadako angekuwa timamu kwa huyo mwanaume kopo angetumia uzazi wa mpango ili asipate mimba

Na akishampata huyo kusudio lako kibosile azalishwe,

Kwani hamna wenye hela na matunzo ni sifuri?

Dadako angekuwa wa kwanza kung'amua na sio jamaa
 
Mdogo angu anasoma coca...
Kuhusu kupata bwana sawa lakini sio.kupata mimba akiwa pale kwa baba...

Hii nasema.mbele ya wote humu mi nikisikia dogo kazingua hasa huyu ambaye anamaliza mwaka huu jua tuu naenda kufanya mtu mbaya...

Mbeya sio.mbali
Umfanye kitu mbaya nn? Au unataka kumlala wee? Km unavyo haribu mashangazi wa watu, na watu watamuharibu mdogo ako.

Inaumaje hiyoo?! 😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu acha bana tu ignore soon...
Tupo kujadili mambo ya maana..

Unajua at the end sisi wanaume ndo tunakua source ya jamii ya hovyo mkuu..

Just focus katika mada mana usitegee utakaa katika uo umri wako mpaka kufa.
Kuna kipindi utakua na familia na watoto hapo utajua uchungu wa mtoto wa kike kuharibikiwa akiwa bado yupo nyumbani hapo..

Omba mungu sana mkuu maisha haya
Ukweli mchungu.Mtu anaharibu watoto wa watu kwa ujinga wake.
 
Acha ujinga wewe utofauti gani kwa hao walimwengu..
Dogo nime mtawaza mwenyewe alafu nianze kumuazia ujinga what kind of that stupidity sina akili
Kwa hiyo unawafuatilia kama wafanyavyo watu wasiojulikana.

Hiyo siyo vema
 
Umfanye kitu mbaya nn? Au unataka kumlala wee? Km unavyo haribu mashangazi wa watu, na watu watamuharibu mdogo ako.

Inaumaje hiyoo?! 😂😂😂😂😂
Coca hakuna sheria yoyote inayonibana mimi kuhusu kula mashangZibut ukija kwa hawa watoto ambao wanajua kutiwa mimba wakiwa hom na mtu kukimbia majukumu hilo tatizo..

Hivi seriously shangazi anaharibiwa. How how
Huyo dorry toka kitambo ni chakalamu mi nakula ni vile basi tuu sasa habar ya kusema namwalibi nakushangaa ipoje hyo
 
Ukweli mchungu.Mtu anaharibu watoto wa watu kwa ujinga wake.
Ujinga ujinga tuu as if yeye hatokuja kuwa na hao watoto..
Mi ndo mana huwa nakosana na wenzangu hapa kutwa kujisifia kutoka na wanafunzi..

Hiki kizazi cha laana sana mkuu
 
Sisi dada alituletea watoto wawili kila mmoja na baba yake na hao jamaa wote ni kopo. Tunalea tu maana hakuna namna
 
Akina dada wakikwama matumizi ya watoto wao badala ya kuwakaba mijamaa iliyowazalisha huenda kulia shida kwa kaka zao (wajomba wa mtoto)
 
Coca hakuna sheria yoyote inayonibana mimi kuhusu kula mashangZibut ukija kwa hawa watoto ambao wanajua kutiwa mimba wakiwa hom na mtu kukimbia majukumu hilo tatizo..

Hivi seriously shangazi anaharibiwa. How how
Huyo dorry toka kitambo ni chakalamu mi nakula ni vile basi tuu sasa habar ya kusema namwalibi nakushangaa ipoje hyo
Mkuu muombe sana mola ili wadogo zako wamalize salama. Hii Dunia haina huruma hata tone.
 
Back
Top Bottom