Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mkuu tauwa mtu mimi πππππππ
Mkuu tauwa mtu mimi πππππππ
Ili badae nije kughalamikia upumbavu wake...Binadamu hachungwi
Mpe somo ila sio sababu tosha ya kumuepusha na hilo, kuna umri huwa kinachosikilizwa ni hisia na moyo wake tu hata bila kujali itagharimu kiasi gani.Ili badae nije kughalamikia upumbavu wake...
Naanza kuzuia from the root huku mkuu
Umesema wengi wao sio wote mkuu..Unasema tu wengi wenu ikishatokea hivyo mnakuwa wapole
Hapo ilitakiwa huyo Mwanaume akuzalishe wewe. Una wivu sana.Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa hovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Mkuu cheza na vyote ila sio watoto wa shule huwa sipendi aiseeee inaniuma sanaHahahah!
Naona umenawa mikono kwa suala la dada mdogo.
Uncle kama uncle
Hapo kuzuia hayo yasitokee kwa sister ako inabidi yatokee kwako. Yaani watu wakukamue wewe badala yake. Hapo utazuia.Umesema wengi wao sio wote mkuu..
I have young sister na now yupo teenage yaani nishamaliza aiseeee...
Wee ona nipo poor poor tu kwenye suala la kuchezea watoto wa shule sijui wadogo zangu aiseee watanivunja miguu tu ila sio kuona mtu anafanya ujinga kwa wadogo zangu aiseee
Mi uwezi amini hapa nilipopanga nikiona mtu ana mazoea na mwanafunzi aiseee hiyo ishakula kwake..
Mkuu nina mengi ya kuongea ila nishaanza panic hapa ..unajua hili suala staki kabisa aiseeee mara kumi wasubri huyo mdogo angu awe mshangazi...
Na staki ujinga mdogo angu niskie analea vibenteni yaani moto ule ule takiwasha
Wanaume tubadilike ..Kuna mdada hapa ni mzuri ukimuona ila kuna jamaa alishampitia sana , halafu kaenda kuoa mwanamke mwingine...Dada wa watu hapati mtu kwa sasa ,watu wanataka bikra.Ili haya yasitokee Jamii nzima ibadilike sio kwa dada ya mtu baki tu.
Hapa umechanganya madesa kaka, hoja sio watoto wa shule, hoja ni kuzaa mapema na mtu asieweza kuyabeba majukum hali inayopelekea kuwa mzigo kwa ndugu.Umesema wengi wao sio wote mkuu..
I have young sister na now yupo teenage yaani nishamaliza aiseeee...
Wee ona nipo poor poor tu kwenye suala la kuchezea watoto wa shule sijui wadogo zangu aiseee watanivunja miguu tu ila sio kuona mtu anafanya ujinga kwa wadogo zangu aiseee
Mi uwezi amini hapa nilipopanga nikiona mtu ana mazoea na mwanafunzi aiseee hiyo ishakula kwake..
Mkuu nina mengi ya kuongea ila nishaanza panic hapa ..unajua hili suala staki kabisa aiseeee mara kumi wasubri huyo mdogo angu awe mshangazi...
Na staki ujinga mdogo angu niskie analea vibenteni yaani moto ule ule takiwasha
π dahHapo kuzuia hayo yasitokee kwa sister ako inabidi yatokee kwako. Yaani watu wakukamue wewe badala yake. Hapo utazuia.
Kwanini asitafute kijana wa maana mpaka anaangukia huko how stupid she is...Poor Brain Moto wa volcano wadada wakiwa kwenye peak Yao umri wa miaka 16-25, wengi wanachagua wanaume wa hovyo wa kuwazalia k.v waume za watu au boda boda wavuta bangi, washinda vijiweni kutwa
Moto wa volcano shida sio mwanaume kuwa na uwezo au kutokua na uwezo kuhudumia, ishu ni je huyo mwanaume aliemzalisha mdogo wako yupo responsible? ukichunguza vizuri unaeza kuta huyo mdogo wako wa kike alimkataa kijana wa maana tu ambae angeweza kuwa a responsible father
Wakifikaga miaka 28+ au 30+ ndo wanajuaga jinsi ya kuwa-notice responsible men .
Mi nilitia kufuli katika nyeti ya mdogo wangu wa kike.Hawa ndgu zetu wajitafakari sana..
Ila mi nishatoa onyo mapema mkuu
Usilie mbaga unajua unapendwa sana na bichwa komwe .Inasikitisha sana mkuu π
Mkuu mi nasema kama utani ila mkiskia jamaa katrend kwa kutoa mtu korodani ndo tunapoelekea ....Hahaha mnataka nani azae? Halafu mkataa ndoa kuwa ni utapeli.
Kwani mkuu wewe msimamo wako upoje kwa hawa dada zetu mbona unaongea as if hutokuja pata mtoto wa kike..Mpe somo ila sio sababu tosha ya kumuepusha na hilo, kuna umri huwa kinachosikilizwa ni hisia na moyo wake tu hata bila kujali itagharimu kiasi gani.
In case you don't know Mimi ndiye fataki sasa.Umesema wengi wao sio wote mkuu..
I have young sister na now yupo teenage yaani nishamaliza aiseeee...
Wee ona nipo poor poor tu kwenye suala la kuchezea watoto wa shule sijui wadogo zangu aiseee watanivunja miguu tu ila sio kuona mtu anafanya ujinga kwa wadogo zangu aiseee
Mi uwezi amini hapa nilipopanga nikiona mtu ana mazoea na mwanafunzi aiseee hiyo ishakula kwake..
Mkuu nina mengi ya kuongea ila nishaanza panic hapa ..unajua hili suala staki kabisa aiseeee mara kumi wasubri huyo mdogo angu awe mshangazi...
Na staki ujinga mdogo angu niskie analea vibenteni yaani moto ule ule takiwasha
Acha wivu mkuu!Umesema wengi wao sio wote mkuu..

πππππππ Mkuu acha bana tu ignore soon...Hapo kuzuia hayo yasitokee kwa sister ako inabidi yatokee kwako. Yaani watu wakukamue wewe badala yake. Hapo utazuia.