Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Mkuu mi nasema kama utani ila mkiskia jamaa katrend kwa kutoa mtu korodani ndo tunapoelekea ....
Utafungwa shauri yako. Kama mdogo wako ana umri zaidi ya 18 muache tu. Vipi wewe huwashughulikii wadogo wa wenzio?
 
Mleta mada ana hoja yenye mashiko. Haina afya kabisa binti yako au dada yako usikie anadate na fukara! Hata Biblia iinasema

"Mwanzo 1:11 ".... na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ...... "

Unatakiwa uzae kwa jinsi yako. Masikini oa masikini mwenzio. Tajiri oa tajiri mwenzia (oa na zaa kwa jinsi yako)
Mkuu Hun baya"I get you
 
Yaani mi huyu mdogo wangu wa form four nishamwandikia pdf yenye kurasa tatu yaani sheria na kanuni zote...

Akijichanganya ataelewa kwanini ERoni anapenda maZiwa mtindi....
Wee mwenyewe ni hovyo na hujiwezi, kutwaa kuranda kwa kina Shangazi Dorry, ndo ujifanye kutaka mdogo ako apate bwana wa maana?
Poleeee 😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu naweza kusema sijawahi kimbia majukumu...
Sijawahi na sitowahi kukimbia majukumu

Sijawahi na sitowahi kula mwanafunzi

Mkuu alhamdullilah mi nakula watu wazima mashangazi sasa kama kula.mashangazi ni kuwaharibh basi kwa hapa naombeni mni adhibu
Ni kuwaharibu oa
 
Wee mwenyewe ni hovyo na hujiwezi, kutwaa kuranda kwa kina Shangazi Dorry, ndo ujifanye kutaka mdogo ako apate bwana wa maana?
Poleeee 😂😂😂😂😂😂
Mdogo angu anasoma coca...
Kuhusu kupata bwana sawa lakini sio.kupata mimba akiwa pale kwa baba...

Hii nasema.mbele ya wote humu mi nikisikia dogo kazingua hasa huyu ambaye anamaliza mwaka huu jua tuu naenda kufanya mtu mbaya...

Mbeya sio.mbali
 
Back
Top Bottom