cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hapo sasa, ๐๐๐๐๐๐Dada yako kamuona basha.wake wa thamani halafu wewe kaka mtu unamuona kopo hapo nani mshindi sasa
Hapo sasa, ๐๐๐๐๐๐Dada yako kamuona basha.wake wa thamani halafu wewe kaka mtu unamuona kopo hapo nani mshindi sasa
Kimekulambaaaa!!!Mkuu ni kuomba mungu sijaweka exp 100 pacee but hyo isiwe sababu ya mimi nisiweke misingi na misimamo kwa wadogo zangu kwa kuwa hilo jambo la kawaida mkuu....
Ety ajari izuie mimi nisinunue gari mkuu its impossible but lazima kuwa na preparation pamoja na prevention hv na umakini mkuu...
Mi siwezi acha kuona dada angu anaingia katika shimo hilo huku nikawa nasema its normal...
Hii issue sio normal mkuu ila ni vile kaya nyingi zipo hvo... Naomba kwa huyu mzee wangu isitokee hv na ninao wengi sana aiseee daah its to sad
Doooohhhh kwahiyo kuzaliwa kwenye familia maskini ni kosa la nani ? Mama au baba ?Ukiona familia yenu haina mwelekeo na ni maskini wa kutupwa, fahamu tu kuwa mamaako alimpenda babaako kwa sababu ya vitu vya ujinga ujinga kama ndevu, kifua, sura, nk
Unamatumizi mabaya ya maandikoMleta mada ana hoja yenye mashiko. Haina afya kabisa binti yako au dada yako usikie anadate na fukara! Hata Biblia iinasema
"Mwanzo 1:11 ".... na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ...... "
Unatakiwa uzae kwa jinsi yako. Masikini oa masikini mwenzio. Tajiri oa tajiri mwenzia (oa na zaa kwa jinsi yako)
Kwa kweli hili ni tatizo na familia nyingi zimekutana na shida hiiHuwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Very challengingKwa kweli hili ni tatizo na familia nyingi zimekutana na shida hii
So toa location basiKwanini asitafute kijana wa maana mpaka anaangukia huko how stupid she is...
Hii mitoto mda mwingine takuja kuiua tuu
Mkuu nina wadogo wa kike wengi mno yaani hao no bloody kabisa sasa na mi mzeee kasema kashaniachia majukumu aiseee huwa nikifika kule hom wanaelewa ...
Kuna jamaaa juu hapo namuona kama anataka kunipanickisha kwa kuongea ongea mambo ya ajabu et mtoto wa kike achungwi... How why when...
Mi wadogo zangu nahakikisha watazalishwa wakiwa katika ndoa zao
Tuseme insha'Allah
Shemeji yangu mmoja,alipewa mimba na tapeli mmoja ambae alikuwa anamdanganya kuwa ana duka kubwa,na alikuwa anampeleka kwenye hilo akimdanganya ni lake kumbe ni muongo.Nilimwita huyo tapeli kumuuliza kwani ulimdanganya huyu binti kuwa una duka kubwa na sasa mimba ni hiyo na kutunza huwezi,jamaa akabaki analia tu.Nilimuuliza una elimu gani,akanijibu form 4 ilibidi tumkabidhi mke hapo hapo tukamwambia lea mkeo.Baada ya mwezi tu jamaa kashindwa kulea,tukaitisha mkutano wa ndugu wa huyo bwana,nao wakasema hawana uwezo,tulimrejesha huyo shemeji yangu kwa wazazi wake,na tulimfanyia mpango huyo bwana akasomee upolisi,baada ya mwaka akamaliza na akamchukua mkewe,ambae anaishi nae mpaka sasa,tulisumbuka sana na jambo hiliVery challenging
Kipawa cha ushawishi wanaume tunakitumia vibaya sana ..yaani ili mradi amzini mtoto wa watu bila ya kuangalia madhara kwa upande wa pili.Shemeji yangu mmoja,alipewa mimba na tapeli mmoja ambae alikuwa anamdanganya kuwa ana duka kubwa,na alikuwa anampeleka kwenye hilo akimdanganya ni lake kumbe ni muongo.Nilimwita huyo tapeli kumuuliza kwani ulimdanganya huyu binti kuwa una duka kubwa na sasa mimba ni hiyo na kutunza huwezi,jamaa akabaki analia tu.Nilimuuliza una elimu gani,akanijibu form 4 ilibidi tumkabidhi mke hapo hapo tukamwambia lea mkeo.
We jamaa jau sanaNaomba location mkuu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mbeya uyoleSo toa location basi
Jua ni kali sana mkuuHatari sana
Hata wewe unaweza kummimba tu mkuu.Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Aisee hii story ni script tosha ya kuaandaa filamu very interestingShemeji yangu mmoja,alipewa mimba na tapeli mmoja ambae alikuwa anamdanganya kuwa ana duka kubwa,na alikuwa anampeleka kwenye hilo akimdanganya ni lake kumbe ni muongo.Nilimwita huyo tapeli kumuuliza kwani ulimdanganya huyu binti kuwa una duka kubwa na sasa mimba ni hiyo na kutunza huwezi,jamaa akabaki analia tu.Nilimuuliza una elimu gani,akanijibu form 4 ilibidi tumkabidhi mke hapo hapo tukamwambia lea mkeo.Baada ya mwezi tu jamaa kashindwa kulea,tukaitisha mkutano wa ndugu wa huyo bwana,nao wakasema hawana uwezo,tulimrejesha huyo shemeji yangu kwa wazazi wake,na tulimfanyia mpango huyo bwana akasomee upolisi,baada ya mwaka akamaliza na akamchukua mkewe,ambae anaishi nae mpaka sasa,tulisumbuka sana na jambo hili
Una maana wanaume tuna dhambi ya kurubuni wanawakeKipawa cha ushawishi wanaume tunakitumia vibaya sana ..yaani ili mradi amzini mtoto wa watu bila ya kuangalia madhara kwa upande wa pili.
Yeah , tunatumia vibaya ushawishi wetu .Una maana wanaume tuna dhambi ya kurubuni wanawake