Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Weka akiba ya maneno mzee mwenzangu. Malezi ya watoto wa kike yamekua changamoto. Kuna ajenda nyingi za kishetani zinaenezwa kupitia kwa mwanamke.

Pia kuna mashirika, wanaharakati, taasisi, NGO n.k hawa watu wamekua wakitetea upuuzi wote unaofanywa na mabinti wadogo na wanawake kwa kisingizio kwamba wanatetea haki za wanawake.

Ambao wapo mstari wa mbele katika izo platforms ni mafeminists na single mothers ambao wamepitia heartbreakings nyingi wanaishi na vinyongo kwaiyo secrete agenda yao ni kuwafundisha wanawake kuwachukia wanaume na kuwapotosha mabinti nao waishie kuwa miserable pia(waswahili wanasema msiba wa wengi ni sherehe)

Mbaya zaidi izo movements zote zinapewa nguvu na sapoti na watu wenye pesa na mamlaka katika dunia hii kwaiyo sio rahisi kuishinda iyo vita ukiwa mtu mmoja.

Kwaiyo weka akiba ya maneno mzee mwenzangu, subiri kwanza hao wadogo zako wapite salama kwenye ile interval ya miaka 15-25 ndio umalizie maneno yaliyobaki
 
Kitaa tunaqzq harakati za.mku mvizia tifaa wa daimond!!mamaaaeee tutajipigia mapemaaa mpaka mdingi asandeeee
 
Sasa hao makopo wazae na kina nani? Au hawastahili kupata watoto?
HUU NI UONEVU
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Bahati mbaya mawanawake yenyewe hayo in the name of dada ni makopo.

Utapanuaje mapaja Kwa mtu ambae humjui,hujui anafanya kazi gani na hujui anapoishi Wala kula yake.

Hao makopo wa kike wasikuumize kichwa maana ndivyo wameumbwa.
 
Hii sio kwa mdogo wangu tuu ni kwa mdada wowote nikiona anafanya huo utoporo kiukweli naumia sana sana tena sana...
Hata kama ni hisia why sasa mpaka amshikishe mimba..
Mi wallah atakaye fanya mdogo angu huo upuuzi na nina wadogo wa kike wa4 aiseeee mi ndo kama faza wao...

Aiseeee tabana mtu korodani na kama ni member wa humu aiseeeee atajua kama BICHWA KOMWE - ni mshangazi au ni mke wa Mbaga Jr
Hakuna utakachofacha,achilia mbali wadogo zako Watoto wako pia watatiwa mimba na aliyemtia hutomjua ila mkeo atamjua.
 
Ile inakua akili yao au matope maana unakuta mwingine ni smart kabisa aiseee
Smart ya kukariri darasani ni tofauti na kujitambua.

Japo wengi wa wanaozalishwa tuu na wako vizuri kichwani unakuta ni mda umeenda hakuna wa Kumuona so anazoa yeyote bila kujali.
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Wewe usimuite mume wa dada yako kopo,amekufanyia kazi ngumu mno ambayo wewe huwezi kuifanya.
tujifunze kuheshimu watu tunaokutana nao,kama kwenu mko vizuri,kwanini dada yako hakuwaona hao watu wa aina yenu?
 
Mleta mada ana hoja yenye mashiko. Haina afya kabisa binti yako au dada yako usikie anadate na fukara! Hata Biblia iinasema

"Mwanzo 1:11 ".... na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ...... "

Unatakiwa uzae kwa jinsi yako. Masikini oa masikini mwenzio. Tajiri oa tajiri mwenzia (oa na zaa kwa jinsi yako)
Acha kupotosha maandiko bro

Hizo tafsiri za kusadikika ziache
 
Wewe usimuite mume wa dada yako kopo,amekufanyia kazi ngumu mno ambayo wewe huwezi kuifanya.
tujifunze kuheshimu watu tunaokutana nao,kama kwenu mko vizuri,kwanini dada yako hakuwaona hao watu wa aina yenu?
Sio tuu kopo ni fukara
 
Back
Top Bottom