Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Kama dada yako amezalishwa na kopo ujue ukoo wenu mzima Makopo.
 
Hakuna anayependa haya yatokee..

Lkn haya yote yamesababishwa na wazee wetu hawa hawa, waliacha kutulea ktk misingi waliyolelewa wao, wakaiga umagharibu mwingi, wakakubali na mambo ya haki sawa, uhuru wa kila kitu, ona sasa leo hii kizazi tulichonacho na cha hovyo.

Kwa sasa taasisi ya ndoa imekosa thamani, ndoa hazipewi vipaumbele km zamani, vijana wametanguliza tamaa za muda mfupi, wanaendeshwa na vichwa vya chini zaidi kuliko vya juu, ngono imekuwa cheap na imehalalishwa kama chakula cha mchana na jioni.

Vijana wa kiume wanaona kuoa ni mzigo, wa kike wanaona kuolewa ni kunyang'anywa uhuru wao, tena usikute ana kazi ndo kabisaaa, hatakaa ampe sikio mume wake.

Kaka amka usingizini, dunia tuliyopo sasa imeshabadilika kabisa.
Kweli kabisa kama ngono imekuwa rahisi sana
 
Wewe ni wakupuuzwa tu nia yako ni kukera
Kuna Engineer alikuwa na cheo kikubwa Tanroad binti yake alikuwa anagongwa na mameneja waliokuwa chini yake. Yule binti akaja kuzalishwa na kopo kama unavyosema. Yule binti hakuwahi kushika hela akitaka kununua vitu vya shule dereva anapewa hela akamfanyie shopping mtoto. Kipindi kile kifurushi cha wiki 1500 baba yake alikuwa anamuunga kifurushi cha wiki. Akiwa anasoma mkoa mmoja wa kaskazini binti alikuwa akienda hospitali anapelekwa personally na meneja wa tanroad mkoa. Meneja anamnunulia mtoto wa bosi wake lunch na nini binti akalowana. Kuanzia siku hiyo meneja na madereva wakawa wanajipigia binti wa bosi wao aisee. Mi narudia binti kama una hela usimbanie maana ukimbania utawarahisishia watu . Maana watatumia nguvu kidogo kula mzigo.
 
Mwanamke ni dhaifu sana kwa mwanaume ,ukitaka haya yote yaishe labda wanaume tuamue tu kuwa waadilifu.

Kwenye uadilifu ni mtihani mzito. Yaani wanaume tunaharibu sana watoto wa watu kwa ujinga ujinga tu.
 
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Bahati mbaya ndo haiwezekani kumzalisha wewe!
 
Umesema wengi wao sio wote mkuu..
I have young sister na now yupo teenage yaani nishamaliza aiseeee...

Wee ona nipo poor poor tu kwenye suala la kuchezea watoto wa shule sijui wadogo zangu aiseee watanivunja miguu tu ila sio kuona mtu anafanya ujinga kwa wadogo zangu aiseee

Mi uwezi amini hapa nilipopanga nikiona mtu ana mazoea na mwanafunzi aiseee hiyo ishakula kwake..

Mkuu nina mengi ya kuongea ila nishaanza panic hapa ..unajua hili suala staki kabisa aiseeee mara kumi wasubri huyo mdogo angu awe mshangazi...

Na staki ujinga mdogo angu niskie analea vibenteni yaani moto ule ule takiwasha

Tuliaza Kisukari Broo.

Aliliwa mtoto wa FatuJohn Sembuse, Mdogo wako?

Cha Muhimu ni kumleq Vzuri tu ajitambue, Otherwise, Ataliwa na akikaa kihasara hasara atapigwa mimba na hakuna ktu utafanya
 
Daaah inauma sana nikikumbuka ilibidi nitoke Iringa mpaka Mbezi kibanda cha mkaa ,sijui shimo la mkaa halafu nakutana shemeji yangu kavaa modo imembana kama mfuko wa gita,dogo kaamua kupiga chini na chuo kabisa anashinda tu saluni ya huyo chekibobu.Hakuna namna kimjomba chetu tunakilea na ninataka kije kuwa kibasket ball player 'CK the baller' remember the name.

Kuna Wakati Huwezi ku control Kila outcome.

Otherwise utatumia Nguvu kubwa uumie au uumize watu
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Shemeji yangu mmoja,alipewa mimba na tapeli mmoja ambae alikuwa anamdanganya kuwa ana duka kubwa,na alikuwa anampeleka kwenye hilo akimdanganya ni lake kumbe ni muongo.Nilimwita huyo tapeli kumuuliza kwani ulimdanganya huyu binti kuwa una duka kubwa na sasa mimba ni hiyo na kutunza huwezi,jamaa akabaki analia tu.Nilimuuliza una elimu gani,akanijibu form 4 ilibidi tumkabidhi mke hapo hapo tukamwambia lea mkeo.Baada ya mwezi tu jamaa kashindwa kulea,tukaitisha mkutano wa ndugu wa huyo bwana,nao wakasema hawana uwezo,tulimrejesha huyo shemeji yangu kwa wazazi wake,na tulimfanyia mpango huyo bwana akasomee upolisi,baada ya mwaka akamaliza na akamchukua mkewe,ambae anaishi nae mpaka sasa,tulisumbuka sana na jambo hili

Mkuu ibarikiwe sana Familia Yenu.
Naona iko na Busara na Hekima
 
Back
Top Bottom