sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,152
- 48,355
Take care Eng usije ujazalishwa na mwanamme kopo nitalia saaanaHapo sasa, ๐๐๐๐๐๐
Take care Eng usije ujazalishwa na mwanamme kopo nitalia saaanaHapo sasa, ๐๐๐๐๐๐
Hakuna anayependa haya yatokee..Mkuu ni kuomba mungu sijaweka exp 100 pacee but hyo isiwe sababu ya mimi nisiweke misingi na misimamo kwa wadogo zangu kwa kuwa hilo jambo la kawaida mkuu....
Ety ajari izuie mimi nisinunue gari mkuu its impossible but lazima kuwa na preparation pamoja na prevention hv na umakini mkuu...
Mi siwezi acha kuona dada angu anaingia katika shimo hilo huku nikawa nasema its normal...
Hii issue sio normal mkuu ila ni vile kaya nyingi zipo hvo... Naomba kwa huyu mzee wangu isitokee hv na ninao wengi sana aiseee daah its to sad
Kwa kweli โInakeraKukua atakuwa lakini ndo hivyo wengine wataubeba msalaba usiokuwa wa kwao
Kustaafu kifanyaje mkuu ๐๐๐๐Oyaaa ERoni si amesha staafu hizi mbanga???
kuth.omba labdaKustaafu kifanyaje mkuu ๐๐๐๐
Mkuu kwa wanawake asilimia 99.988803222628826262 wameweka ndoa kama source of income...Hakuna anayependa haya yatokee..
Lkn haya yote yamesababishwa na wazee wetu hawa hawa, waliacha kutulea ktk misingi waliyolelewa wao, wakaiga umagharibu mwingi, wakakubali na mambo ya haki sawa, uhuru wa kila kitu, ona sasa leo hii kizazi tulichonacho na cha hovyo.
Kwa sasa taasisi ya ndoa imekosa thamani, ndoa hazipewi vipaumbele km zamani, vijana wametanguliza tamaa za muda mfupi, wanaendeshwa na vichwa vya chini zaidi kuliko vya juu, ngono imekuwa cheap na imehalalishwa kama chakula cha mchana na jioni.
Vijana wa kiume wanaona kuoa ni mzigo, wa kike wanaona kuolewa ni kunyang'anywa uhuru wao, tena usikute ana kazi ndo kabisaaa, hatakaa ampe sikio mume wake.
Kaka amka usingizini, dunia tuliyopo sasa imeshabadilika kabisa.
Duuh jaribuni kuwa na tasfidakuth.omba labda
Halafu na haya mambo ya kulipia mahari kuna watu wameyafanya fursa kwaoMkuu kwa wanawake asilimia 99.988803222628826262 wameweka ndoa kama source of income...
Just imagine kwa sasa mpaka familia maskini zinaona kuolewa kwa mtoto wao ni kama bahati ya kutua mizigo ya matatizo nyumbani.
Ndio maana kuna mwamba hapo juu aliposikia nina wadogo wa kike zaidi ya watutu ambeniambia et nina bahati... Umeona akili hiyo ahahahah
Kuna mmoja huyu kisa mweupe kila sikua anajisifia ujinga wa mahali dadekHalafu na haya mambo ya kulipia mahari kuna watu wameyafanya fursa kwao
Hhhh kazi ipo hapo ameshajiwekea mahesabu yake kichwaniKuna mmoja huyu kisa mweupe kila sikua anajisifia ujinga wa mahali dadek
Wdada wa sku izi stupid sna aiseee an daaahHhhh kazi ipo hapo ameshajiwekea mahesabu yake kichwani
Afu nna Kopo langu sasa, nalikubali hatari.Take care Eng usije ujazalishwa na mwanamme kopo nitalia saaana
Chezea utamu wa mgegedo....tena hao jamaa ndio wanapiga round kibao na kukonoza vizuri dada zetu.Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Hhhhhh ila future hawanaChezea utamu wa mgegedo....tena hao jamaa ndio wanapiga round kibao na kukonoza vizuri dada zetu.
Tutakutana kwenye ada za shule , kodi ya nyumbaAfu nna Kopo langu sasa, nalikubali hatari.
๐๐๐๐๐, nao ni watu wanahitaji kuitwa baba pia. Lol