Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
 
Akiutoa ushahidi huyo Sultan wenu sukari itashuka hadi moja,Lemma amejitahidi sana kumsitiri Sultan ila mkimlazimisha atamvua nguo kabisa anajua upuuzi mwingi sana wa Sultan kuliko nyie wasaka tonge.
 
Kwa hiyo Lissuni mkaidi baada ya kupona kufukuzwa yeye akaanza kufukuzia nafasi ya mwenyekiti mwenyewe Ayatollah Mbowe
Hivi uchunguzi wa kesi umefikia wapi? Halafu anasema atapambana na CCM
 
Akiutoa ushahidi huyo Sultan wenu sukari itashuka hadi moja,Lemma amejitahidi sana kumsitiri Sultan ila mkimlazimisha atamvua nguo kabisa anajua upuuzi mwingi sana wa Sultan kuliko nyie wasaka tonge.
Kipindi hichi hamuamini mtu, ajiandae kutafuta chama
 
Back
Top Bottom