Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
...Safari hii mbowe kabanwa, Hongera lissu
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
huyo mbowe ni Mungu kiasi kwamba kuanzia kina zitto hadi slaa na chacha wangwe watake kumpindua pale wanapoonyesha interst za uenyekiti tu
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Propaganda ikitumika vibaya inaweza kuaminisha watu "mbinguni ni jehanamu na jehanamu ni mbinguni" naona unajitahidi sana,kama unanufaika na FAM haki yako kueneza hizi Propaganda.
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Gaidi unampinduaje? 🐼😂
 
Mlishasema Chdema chama cha wachaga, Lema ni Msukuma?
Lema anafukuzia ukatibu mkuu!! Milioni 15 kwa mwezi sio mshahara mdogo na mvuto wa kisiasa hana hapo Arusha mixer ana njaa mbaya mbovu. So kaangalia upepo.

Jana baada ya video za mbowe na Lissu kuingia kwenye mkutano wa Bavicha kutoka na madogo wakamshangilia Lisu, Lema akatangaza Press Conference..

Akili mtu wangu.....

Wachaga wanapenda hela, ndugu kwa ndugu wanauana
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Lema bangi.
Yeye anadhani anakijenga chama kumbe ndo wanakiua.

Ila bora kifie mbali kuliko genge la kina lema liendeshe chama yataleta vurugu nchini
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Kauli na madai ya kumpindua kiongozi wa chama yanatolewa na watu wenye akili ndogo waliokosa uelewa.

Hivi utampinduaje kiongozi wa chama? Serikali zinapinduliwa na majeshi au wapiganaji wa mwituni. Na wakishapindua huyalinda mapinduzi yao kwa nguvu ya silaha na nguvu nyingine zote za dola; huko kwenye vyama vya siasa huwa kuna majeshi au wapiganaji? Huwa kuna Serikali wanayoipindua ili waishikilie? Hayo mapinduzi wanayalinda kwa njia gani?

Ni mjinga pekee anayeamini kiongozi wa chama cha sIasa
anaweza kupinduliwa.
 
Wanasema covid 19 kuna wake wa viongozi, eti Matiko mkewe salum Mwalim. Washachanganyikiwa akina Lema baada ya kumuona Mbowe anagombea
Na Halima alikuwepo kwenye sikukuu ya kufunga mwaka kwa Mbowe ...siasa sio uadui🐼
 
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Wenje alisema kuwa hiyo timu ilikuwa pamoja na yeye. Alisema kuwa Lissu aliwaaminisha kuwa Mbowe ni corrupt na amehongwa magari mawili. Wenje alipofuatilia akagundua kuwa tofauti na walivyoambiwa, Mbowe alinunua magari hayo kwenye mnada. Alimuonyesha mpaka risiti za manunuzi. Hapo ndipo alipojitenga na waliokuwa wenzake.

Amandla...
 
Back
Top Bottom