Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Machawa ya Mbowe yamechanganyikiwa kabisa
Ngoja inyeshe tuone panapovuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machawa ya Mbowe yamechanganyikiwa kabisa
Ngoja inyeshe tuone panapovuja
Huo ujumbe upeleke kwa wajumbe tar 21.Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Mbowe must go. Atake asitake lazima tumtoe hata kwa Kutumia ma AK 47, SMG, na mavifaru. Lazima tumtoe.Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Aisee kwa mambo yanayofanyika CHADEMA bora tu wangempindua.Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Kinachoitwa mapinduzi, kupitia sanduku la kura, huyu tapeli hakutaka kupata upinzani?Kama kiongozi amejigeuza sultani na wakati chama sio cha kisultani kuna ajabu gani akipinduliwa?
na bulaya ni wa nani?Wanasema covid 19 kuna wake wa viongozi, eti Matiko mkewe salum Mwalim. Washachanganyikiwa akina Lema baada ya kumuona Mbowe anagombea
Hujui dunia ,kaa kimiyaHata Wenje alikuwa kwenye hilo kundi ila akasema nimekosa mimi , nimekosa mimi, nimekosa sana akasamehewa na Mbowe🐒
Kwa hiyo ukionyesha risiti za manunuzi ndio unakuwa hujahongwa!?Wenje alisema kuwa hiyo timu ilikuwa pamoja na yeye. Alisema kuwa Lissu aliwaaminisha kuwa Mbowe ni corrupt na amehongwa magari mawili. Wenje alipofuatilia akagundua kuwa tofauti na walivyoambiwa, Mbowe alinunua magari hayo kwenye mnada. Alimuonyesha mpaka risiti za manunuzi. Hapo ndipo alipojitenga na waliokuwa wenzake.
Amandla...
Zitendeeni haki akili ambazo Mungu amewapaLema bangi.
Yeye anadhani anakijenga chama kumbe ndo wanakiua.
Ila bora kifie mbali kuliko genge la kina lema liendeshe chama yataleta vurugu nchini
Hongera. Mpaka sasa umekuwaa na taadhali kubwa. Sijajua upo rimu ganNgoja inyeshe tuone panapovuja
Hujaelewa na hutoelewaKinyonge salama umejibu. Safari hii Nkurunzinza Hana pa kutokea na mnagawana mbao😁😁😁😂😂😂🤣🤣
Mimi niko Chadema mara zoteHongera. Mpaka sasa umekuwaa na taadhali kubwa. Sijajua upo rimu gan
Unajua namanisha nini mkuu, tafakari na uje tena
Sijakuelewa, mpaka sasa...na bado Wenje anabaki kuwa kwenye kundi la waliosaliti harakatiUnajua namanisha nini mkuu, tafakari na uje tena
Kwaheri.Kwa hiyo ukionyesha risiti za manunuzi ndio unakuwa hujahongwa!?
Ongeza kiasi cha ubungo kwenye hilo fuvu wewe!
Bro please tafakari 1000 upande unaoupiganiaLema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.