- Thread starter
- #61
evidenceHata Wenje alikuwa kwenye hilo kundi ila akasema nimekosa mimi , nimekosa mimi, nimekosa sana akasamehewa na Mbowe🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
evidenceHata Wenje alikuwa kwenye hilo kundi ila akasema nimekosa mimi , nimekosa mimi, nimekosa sana akasamehewa na Mbowe🐒
utoto sasa...ndiyo mana JF ni ya kuhama....ukae kusoma nini?Mbowe must go. Atake asitake lazima tumtoe hata kwa Kutumia ma AK 47, SMG, na mavifaru. Lazima tumtoe.
Machawa wa mbowe mmetoka mapangoniLema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Hivi kama unafuatilia hoja vizuri humu JF kkweli wafuasi wa Mbowe wamechanganyikiwa au wa Lissu ndio wamechanganyikiwa? Ebu Fanya study!Machawa ya Mbowe yamechanganyikiwa kabisa