Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Kabla hatujakushauri cha kufanya, umeshapima UKIMWI? Maana mwenzako kapima mimba na anayo
 
Ukisikia kwamba nime date naye mara mbili
Unajiuliza howπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
Au mtu anakuambia anaomba mdate wewe unadhani anaomba muwe karibu mfahamiane kumbe mwenzako anamaanisha kupigana miti.
Hahahahah ni mwendo wa kusopekana tuπŸ˜„
 
Hiyo ya kimila ndio naitaka mimi
Hiyo ndio yenyewe mkuu, hizo za maabara lolote linaweza kutokea, all in all wanaume wengi tunalea hawa watoto kwa imani tu, kwa maana tulio wengi huwa tunajiridhisha kwenye kadi ya clinic ya kwamba anatumia majina yangu so ni wanguπŸ˜…πŸ˜…
 
Kutoishi nae sio shida,shida ni Yako hiyo mimba?!
 
Hongera sana baba kijacho, wewe hakika ni shapu shuta. Anza sasa, baba, kutuma matumizi kwa kuwa hiyo mimba ni yako pasi na shaka yaani, 100% ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…